Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,382
- 29,420
Ulimwengu wote hivi karibuni umeshangazwa na matusi mazito yalitolewa katika Television ya Serikali ya Korea Kaskazini dhidi ya Obama. Matusi hayo ni pamoja na kusema kwamba Obama ni damu mchanganyiko isiyojulikana, mwenye umbo kama nyani. Waliendelea kusema ingekuwa vema kama Obama angeishi na kundi la nyani wenzake katika hifadhi asili za Afrika and kulamba mikate anayotupiwa na watazamaji.
Si mara ya kwanza kwa Television hii ya Korea Kaskazini kutumia matusi kama hivi, kwani hivi karibuni walimuita Raisi wa Korea Kusini kuwa ni malayana kwamba kuwadi wake ni Obama.
Matusi haya yamelaaniwa vikali na Wamarekani.
Source: The Business Times
US condemns North Korea's 'ugly' racist Obama remarks, Asia Breaking News & Headlines - THE BUSINESS TIMES