Wakonta Kapunda ni nani? Fuatana nami

Wakonta Kapunda ni nani? Fuatana nami

Huyo Kibibi na wazazi wake wote washenzi Tu!
Umeona eeh?
Yaani Hadi wazazi walishindwa kufanya utaratibu wa kumtafuta???
Dunia Ina mambo.
Yaani halafu wamekaa tu kwa amani huko waliko[emoji134]

Mimi wale walionigonga walihangaika kunitafuta,wakaenda shuleni kuuliza kwa mkuu wa shule..baada ya muda walikuja nyumbani wakaomba msamaha na walisaidiana na wazazi kunihudumia hadi nilipopona..Tena kipindi hicho kulikuwa na mgomo wa madaktari..kwahiyo nilikuwa napelekwa hospital na kurudishwa nyumbani

Kuna muda walikuwa wanakuja kuniona wanabeba matunda na mavitu kibao ila maskini Mimi nilikuwa siwezi hata kula.
Nahisi walikuwa wanaogopa Sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waungwana na wana utu dear, mpk unajiskia faraja japo umeumia Mungu aibariki hyo familia sio kua ni waoga wana utu na hofu ya Mungu pia!huyu kibibi ni Mshenzi na familia yao yaonekana maadili sifuri hawana ht uoga lakini km yupo hai anamuona wakonta alivyo popote alipo hana Amani nafsini mwake
 
I mean walikuwa wana hofu kuwa nitakufa maana hali ilikuwa mbaya..wanaleta vitu halafu mgonjwa siwezi kuvila.
Baadaye waligeuka kuwa kama ndugu,mama aliwapenda sana na kila akivuna mazao alikuwa anawatumia.

Sasa huyo kibibi na familia yake duh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole,kweli picha za instagram zinapotosha. Huyo kaka ni marioo hana lolote. Idaho USA anaishi kwao. Kwanza alipata kesi ya kubaka ndo akakimbilia Tanzania,ndo akaja kuishi Tanzania na kumpata Waconta. This boy ni tapeli flani ni mcongo wale wanaongea swahili,alikuwa anaishi kwenye kambi ya Nyarugusu yeye na familia yake,baadae ndo wakapelekwa USA kama wakimbizi. Eti Dr???????Mario huyoooo hana lolote. Maisha yalimpiga Tanzania ndo akajiweka kumsaidia Wakonta then akawa anamla. Kesi ilivyoisha huyoooo akarudi zake Idaho.
Huyu ni mcongo anaishi Idaho USA kama kasoma sana basi kaishia la saba,ni mkimbizi alikwenda USA na wazazi wake kupitia tiketi ya ukimbizi before waliishi kambi ya Nyarugusu.
Mshenzi yule halafu wameshaachana. Kapata demu mwingine wa kichaga. Demu kalipa nauli jamaa kaja Dar tena. Yule kijana alimtumia tu Wakonta kula hela za Mengi. Nakumbuka mimi nilimdm kabisa Wankota kipindi kile nikamwambia huyu kijana ni tapeli. Any way love is blind.
Kumbe unamjua nje ndan huyo mariooo,ila wakongo ni noma hawaangaliii mtu yupo kwenye situation gan,ila na nyie dada zetu sijui ni ule u handsome unawaponza[emoji848]
 
Kumbe unamjua nje ndan huyo mariooo,ila wakongo ni noma hawaangaliii mtu yupo kwenye situation gan,ila na nyie dada zetu sijui ni ule u handsome unawaponza[emoji848]
Tunapenda attention, affection.
Sasa mara nyingi waparanginyikaji huo mda hamna.
Marioo ndo wanashika hatamu.
 
Huwezi kukuta kina tb joshua, gwajima, mwamposa wanamfata mtu kama huyu na kumuombea arudi hali yake ya kawaida..

Viwete wanaonyanyuka makanisani kwao ni viwete wanaowajua wao.... ila wenye matatizo tunaowajua sisi...hawawaponyeshi..

Ndio maana nachukia sana hawa manabii
We nae bwana,ss tbjoshua,gwajima,mwamposa wamfuate kawaambia anataka kuombewa?
Yesu mwenyewe alikuwa anauliza ,unataka nikufanyie nn? Ss wao waanze tu kumfuata km haamini je?

Kuna wakati hebu fikirieni kabla ya kunena!

Au hata TBjoshua ambae yuko Nigeria atajua haya?
Mara ngapi ameshauriwa aende lkn hajafanya hivyo? Huwezi kumlazimisha mtu hujui nn anachokiamini!

Acheni kuwalaumu watumishi.

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Ni kweli ingetakiwa wasaidiwe watu wenye serious issue ka huyu wakonta, hafu hao manabii wengi huandaa watu wao fake, but Kuna case niliona ya dogo alikuwa wakulala Sasa anatembea after maombi
Huyu tushamshauri mno na mifano nilituma kwny inbox yake aende kwa TBJoshua,hakutaka ss utamlazimisha?labda haamini kwenye upande huo je?mi nilishauri sbb I knw Kule angeshapona ingebaki story tu na uwezo najua anao,tiketi tu ya kufika ,uponyaji bureee ni yy kwenda tu! Hakutaka!utawalaumu watumishi kwa staili hii?
Hapana watumishi wa Mungu hawawezi kumlazimisha mtu hata siku moja!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
We nae bwana,ss tbjoshua,gwajima,mwamposa wamfuate kawaambia anataka kuombewa?
Yesu mwenyewe alikuwa anauliza ,unataka nikufanyie nn? Ss wao waanze tu kumfuata km haamini je?

Kuna wakati hebu fikirieni kabla ya kunena!

Au hata TBjoshua ambae yuko Nigeria atajua haya?
Mara ngapi ameshauriwa aende lkn hajafanya hivyo? Huwezi kumlazimisha mtu hujui nn anachokiamini!

Acheni kuwalaumu watumishi.

JESUS IS LORD[emoji120]

Tb joshua alitabiri mwanamke anashinda USA akaumbuka

Corona imekuja ameumbuka.. kanisa lake linalotibia watu kwa miujiza limeshindwa kwa corona

Dini za ujanja ujanja za manabii ni utapeli mtupu..

Je yeye mwenyewe tb joshua hana imani na dini azuie corona kanisani kwake..

Utapeli wa manabii unawapumbaza wajinga kama wewe... corona imemshinda na imani yake yote anaweza vipi kuponya kiwete

Hujui kuna waumini wa tb joshua kibao walikufa kanisani kwa kuangukiwa na jengo . Kwa nini hakuliombea lisibomoke.. au yeye hana imani pia
 
We nae bwana,ss tbjoshua,gwajima,mwamposa wamfuate kawaambia anataka kuombewa?
Yesu mwenyewe alikuwa anauliza ,unataka nikufanyie nn? Ss wao waanze tu kumfuata km haamini je?

Kuna wakati hebu fikirieni kabla ya kunena!

Au hata TBjoshua ambae yuko Nigeria atajua haya?
Mara ngapi ameshauriwa aende lkn hajafanya hivyo? Huwezi kumlazimisha mtu hujui nn anachokiamini!

Acheni kuwalaumu watumishi.

JESUS IS LORD[emoji120]
Hawa hawa wakina Gwajima na Mwamposa wanaosemaga wanafufua mpaka leo hawajawahi kumfufua yeyote,au unawasema wengne?
 
Back
Top Bottom