Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,527
- 101,644
hahahahahaAmkeni amkeni.
Huyu kijana sasa hivi ni nabii.
Ana upako, ana kanisa.
hahahahahaAmkeni amkeni.
Huyu kijana sasa hivi ni nabii.
Ana upako, ana kanisa.
HeheAmkeni amkeni.
Huyu kijana sasa hivi ni nabii.
Ana upako, ana kanisa.
hahahahaha,dahMimi ni hater wake.
Toka alivyotumia hela za wakonta nimemmind.
Sijui ndo hizo alizofungulia mradi wa kuku na wa kanisa.
Pole sana!nilisIKIA stori yake ile siku ajali inatokea korogwe girls!hakika kuna watu wanapitia changamoto sana katika maisha!ukikaa kutafakari unaeza ukaona changamoto yako sio kitu!MUNGU AKUTUNZE NA SIKU MOJA UTAPONA TU!AMENINAENDELEA...
Ukiwa hospitali kuna unafuu kidogo kwani kila mtu anaumwa, pia kuna wauguzi na madaktari kwa ajili ya usaidizi. Ukiwa unaendea vizuri unajiona kama ndiyo umepona kabisa!
Kwa mtu aliyepooza hospitali kuna nafuu kuliko kuwa nje. Ukitoka nje unakutana na walio wazima, kila mtu anakushangaa wewe na kukupa pole. Hiyo si nzuri.
MAJERAHA YA UTI WA MGONGO
Majeraha ya uti wa mgongo yamegawanyika kwenye makundi mawili; ‘complete’ na ‘incomplete spinal cord injury’. Jeraha likiwa ‘complete’ maana yake uti wa mgongo unakuwa umeumizwa kabisa na mwili unapooza. Mwili unakuwa hauna hisia wala hauwezi kujongea hata kidogo. Katika 'incomplete' mwili unaweza kuhisi na kujongea kidogo, lakini hii hutofautiana kati ya mtu na mtu.
HALI YANGU KIUJUMLA
Mimi, baada ya ajali, mwili wangu ulikufa ganzi kabisa, sikuwa nikihisi chochote. Baada ya upasuaji hisia zilianza kurudi na baadhi ya sehemu za mwili zilianza kujongea kidogo. Nilijianza kujongea mabega kisha kidole cha kati. Kwa maana hiyo mimi nina ‘incomplete’ ambayo kitaalam inaitwa ‘c3-c4 incomplete spinal cord injury’.
Majeraha ya uti wa mgongo yamegawanyika katika vipengele mbalimbali lakini hakuna watu wawili wenye jeraha la aina moja ambao wanafanana kwa kila kitu. Mfano mimi nina ‘c3-c4 incomplete injury' lakini akija mwingine mwenye aina hiihii hawezi kuwa kama mimi. Yaani kila mtu yupo tofauti. Suala hili ni linachanganya hata daktari hawezi kulielezea vizuri.
Zaidi ya kupoteza uwezo wa kushika na kunyanyua miguu, pia uwezo wangu wa kupumua na mmeng’enyo wa chakula vilibadilika baada ya ajali. Mmeng’enyo unaenda taratibu kidogo. Vilevile haja ndogo na kubwa, kupiga chafya, kutapika, kukohoa na kucheka vilibadilika baada ya ajali.
Ni miaka nane tangu nimepata ajali, hivyo vitu vingi vimebadilika. Vitendo kama kucheka na kupumua ambavyo mwanzo vilikuwa vimepotea, vilianza kurudi taratibu kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele. Hivi sasa naweza kukohoa kidogo. Haja ndogo ambayo mwanzo niliipoteza kabisa, nikawa siwezi kuidhibiti kwa namna yoyote, kwa sasa naweza kuidhibiti kwa kiasi kidogo, pia naweza kuhisi kibofu kikiwa kimejaa. Vivyo hivyo kwa haja kubwa.
Pia natumia kiwambo (diaphragm) kupumua kwani nimepoteza uwezo wa kifua kujongea (chest movement), maana yake napumua kwa kutumia tumbo. Nikiwa napumua utaona tumbo likicheza lakini kifua hakichezi.
***
Wengi wananiuliza mbona miguu yangu ni minene na sijapungua sana. Kusema kweli hata mimi sijui ni kwa nini, kwani hakuna kitu maalum ambacho nakifanya au nakitumika kinachonifanya niwe hivi. Mwanzo nilipoteza misuli lakini baadaye ilianza kujirudi yenyewe.
Jeraha langu bado lipo palepale lakini naweza kujongeza mabega na mikono. Napumulia tumbo lakini napumua vizuri.
Nina hisia mwili mzima; nikishikwa nahisi, japo upande wa kushoto unahisi vizuri zaidi ya upande wa kulia.
Majeraha ya uti wa mgongo huwa tofauti kwa kila mtu, kikubwa ni kufanya mazoezi na kula vizuri, haijalishi jeraha ni la namna gani.
USHAURI
Pale ulipopatia jeraha ndipo mawasiliano yatakapokatikia. Mfano mimi nilijeruhiwa shingoni maana yake mawasiliano yatatoka kichwani na kuishia shingoni, na yale yanayotoka chini yataishia shingoni hayatopanda kichwani. Ikitokea umepata jeraha mgongoni basi mawasiliano yataishia hapo, maana yake ukipata shingoni, huku chini kote kutakuwa hakuna mawasiliano. Wengine wanajongea mikono sababu jeraha linakuwa chini ya mikono, mimi langu lipo juu ya mikono ndiyo maana mikono yangu haijongei.
Tuko tofauti, utakuta huyu mikono yake inafanya kazi, yule haifanyi, mwingine anahisi lakini hawezi kunyanyua mikono, mwingine ananyanyua mikono lakini ukimgusa hahisi chochote.
Licha ya kuwa tofauti lakini kuna vitu ambavyo sote wenye majeraha ya uti wa mgongo tupo sawa.
●Sote tupo kwenye hatari ya kupata ‘pressure sores’ ikiwa tumekaa muda mrefu pasi na kujongea.
●Sote tupo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya moyo kwani tunatumia muda mwingi tukiwa tumekaa.
●Sote tunapata ‘frozen joints’. Hii ni hali ya mikono kukakamaa na kuhisi mifupa ikisagika kutokana na kutojongea kwa muda mrefu.
●Sote tupo kwenye hatari ya kupata ‘autonomic dysreflexia’. Hii ni hali ambayo mwili unakuwa kama umechanganyikiwa hivi.
Kwa mfano, mtu asiye mgonjwa akiungua mguu, fahamu huenda haraka kichwani kisha hurudi tena mguuni sasa kwetu majeruhi, ikifika kwenye jeraha haivuki. Hapo mwili unashindwa kufanya chochote, hii inaweza husababisha ‘pressure’ kupanda sana, jasho kutoka sana na maumivu makali ya kichwa, pia mtu anaweza kupata shambulio la moyo kwani mwili unakuwa umetatizika haujui uamue vipi.
Spasming. Hii ni hali ambayo mikono hujisukuma mbele na miguu kujivuta nyuma bila sababu yoyote.
SAFARI YA MAFANIKIO
Baada ya ajali kila kitu kilibadilika kwenye maisha yangu, lakini sikuwa na namna zaidi ya kuikubali hali yangu na kusonga mbele.
Kwa kuwa muda mwingi niliutumia kutazama filamu; nilianza kujifunza taratibu namna ya kuandika miswada ya filamu (scripts). Nilijifunza na kuimarika, mwaka 2016 nilishiriki shindano la miswada ya filamu, lililokuwa limedhaminiwa na kampuni ya Maisha ya nchini Uganda. Nilishiriki na kufanikiwa kufuzu hatua ya kwanza japo sikuibuka mshindi.
Siku moja mdogo wangu aliniachia simu. Kwa bahati nzuri simu ile iliita, wakati nikihangaika kuipokea, nikagundua kumbe nikiigusa hata kwa mwili inakubali siyo kidole tu. Mdogo wangu alipoamka nikamwambia tufanye namna hiyo ili simu iweze kunifikia. Aliishirikisha familia na wakakubali kuniwekea mito, nikaweza kuitumia.
Nilianza kwa kudonoa taratibu. Awali kichwa kilikuwa kikiniuma, nilihisi kizunguzungu na ulimi uliniuma lakini nilifanya kila siku hadi nikazoea. Kwa sasa ninafanya kazi kubwa kupitia ulimi wangu, naandika siku nzima.
Pia nafanya ujasiriamali mtandaoni tangu mwaka 2016. Kulikuwa na changamoto kadhaa hapo mwanzoni lakini sikukata tamaa kwani niliamua kwa dhati ya moyo wangu, nilijitahidi kujifunza zaidi. Nilijifunza vingi pia nimesaidia watu wengi na hadi sasa nafundisha watu.
Tangu mwaka umeanza nimejikita kwenye ‘network marketing’, nafanya mimi mwenyewe pia nafundisha watu wengine kufanya.
Najivunia kugusa watu wengi na mpango wangu mkubwa ni kuwafanya wanawake wajisikie vizuri kihisia na kiuchumi.
Asante!
Mrembo mwenyewe.
View attachment 1485787View attachment 1485788
hahahaha,mie siko huko na sijawahi kuwa hukoWanaume wa siku hiz mmekuwa wachunaji.
Mnawadangia mpaka wanawake waliopo kwenye kundi maalum.
Kinachoshangaza utakuta kuna watu wanaenda kusali huko😂😂😂😂😂😂 sijui kanajikutaga nani.
Eti sasa hivi ananena kilugha
Kishaona akili za wabongo. Acha akamate fursa.Amkeni amkeni.
Huyu kijana sasa hivi ni nabii.
Ana upako, ana kanisa.
Kanisa lake linaitwaje ? Believe me atapata waumini kibao. Yeye ahubiri kuhusu miujiza, utajiri,kuponya magonjwa, uzazi na kuongeza nguvu za kiume. Atawapata wengi.😂😂😂😂😂😂 sijui kanajikutaga nani.
Eti sasa hivi ananena kilugha
Mungu azidi kukulinda WakontaINAENDELEA...