Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,500
- 1,688
Jifunze kusoma na kuelewa, Amu anahusikaje katika simlizi hi?
Jifunze kusoma na kuelewa, Amu anahusikaje katika simlizi hi?
Unamfahamu huyu lakini? Jimbo lishachukuliwa. View attachment 1485807View attachment 1485808
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimecheka mno.Huyu mkaka namuona kama ni marioo, yuko kimaslahi, amempendea hela wakonta wa watu, nahisi anataka
amchune wakonta zile million 40 alizopewa na Reginald mengi amu
Mambo ya utoto kudolishia.Ila hajasema ilikuwaje ile ajali ni MTU alisababisha bahati mbaya au ile gari iliendeshwa makusud, naona pia kaelezea kitaalam sana hayo madhara kanakwamba Kuna mtaalam kamuandikia, hongera kwake
Mdogo wake anaitwa wakasha.Huyu dada namfahamu kiundani sana,kuanzia familia yake ndugu zake wote,na wao wananifahamu vizuri tu,ana mdogo wake wa kike tuliishi na kusoma skuli moji ni kisu hatari,anajiita wak....kifupi siku ya ajali yake mwanzo ilionekana kawaida ila baadae ndo hofu ikaanza kutanda
vijana wa Ki-tanzania wanafeli wapi?Nani mzuri kweli kweli [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nahisi amepata kutoka [emoji631]
Hatari chotara wa kichaga na kifipa,umemfahamia wapi mkuu....Mdogo wake anaitwa wakasha.
Ni mrembo hasa.
Kwao wamebarikiwa kwa urembo.
@amu kama wakonta wajanja wamesha wahi basi acha nitangaze nia hata kwa huyo mdogo.Mdogo wake anaitwa wakasha.
Ni mrembo hasa.
Kwao wamebarikiwa kwa urembo.
Sahihisha hiyo! Mwafrika kwa mwafrika hakuna chotara hapo mkuu.Hatari chotara wa kichaga na kifipa,umemfahamia wapi mkuu....