Wakonta Kapunda ni nani? Fuatana nami

Wakonta Kapunda ni nani? Fuatana nami

Huyu dada ninampenda mno ni jasiri mno alichofanya ni kukubali hali yake na kupambana.

Kingine ni support na upendo aliopata kutoka watu waliomzunguka.
Kikubwa ashukuru familia aliyotoka manshallah vinginevyo angekuwa wakina wenzangu na mie mbona hata huku tusingemaikia kikubwa amshukuru Mungu kwa yote

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kakamilika kila idara hivi anaweza kuja kupona kabisa hyo Hali jamani, huwa namhurumia sana

Huwezi kukuta kina tb joshua, gwajima, mwamposa wanamfata mtu kama huyu na kumuombea arudi hali yake ya kawaida..

Viwete wanaonyanyuka makanisani kwao ni viwete wanaowajua wao.... ila wenye matatizo tunaowajua sisi...hawawaponyeshi..

Ndio maana nachukia sana hawa manabii
 
Hata mwanaume aliyeparalize kuanzia shingo mpaka miguuni huwa anahisi hamu ya tendo na anasimamisha.

Possibls na wakonta anaejoy tendo.
Duuh yani ukiwa unashida ya utii wa mgongo mashine haina lake,inakua joka la kibisa kwa mwanamke yeye kupata mimba anapata bt mwanaume ni ngumu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Duuh yani ukiwa unashida ya utii wa mgongo mashine haina lake,inakua joka la kibisa kwa mwanamke yeye kupata mimba anapata bt mwanaume ni ngumu
Mkuu mashine inafanya kazi kama kawaida.
Huwezi kuwa joka la kibisa.
Yaani inasimama very sitirong
 
Mkuu mashine inafanya kazi kama kawaida.
Huwezi kuwa joka la kibisa.
Yaani inasimama very sitirong
Wanaume tunapata hisia kupitia utii wa mgongo kuanzia kichwani,kama umevunjika hapo ni joka la kibisa tu mana hata mwenye shida ya pingili tu hapigi mechi.
Wanaume tumeumbwa mateso mateso[emoji444][emoji132]
 
Hali yake haijamzuia kutimiza ndoto zake. Mungu aendelee kumtunza
 
Huwezi kukuta kina tb joshua, gwajima, mwamposa wanamfata mtu kama huyu na kumuombea arudi hali yake ya kawaida..

Viwete wanaonyanyuka makanisani kwao ni viwete wanaowajua wao.... ila wenye matatizo tunaowajua sisi...hawawaponyeshi..

Ndio maana nachukia sana hawa manabii
Ni kweli ingetakiwa wasaidiwe watu wenye serious issue ka huyu wakonta, hafu hao manabii wengi huandaa watu wao fake, but Kuna case niliona ya dogo alikuwa wakulala Sasa anatembea after maombi
 
Basi utakuwa uhaujasoma stori yote umekimbilia ku-comment tu, unatakiwa kuchangia kile unachokisoma kwa wakati huo, kama ni yeye kaamua kujificha hilo hupaswi kuhangaika nalo.
Acha ubishi wewe huku yupo kajaa tele huyo amu wewe wamjua story kibao humu watu wanajifanya ni yamtu mwingine kumbe ni wahusika wakuu

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom