Wakonta Kapunda ni nani? Fuatana nami

1593889798623.png

2012 MIAKA YA BATA HIYO YA MZEE BABA.
 
Mungu atamjalie amupate huyo better & half atakayempenda lile pendo la kweli, la kumjali kuvumilia na Hali yake hao wengine wataka mteremko hawatadumu. Ila yupo atakayempenda jinsi alivo
Kiukweli ni kwamba hawatadumu lakini pia watampotezea muda na kumuumiza moyo wake, wamuache na yeye pia ajiache, mapenzi aachane nayo, she is not fit
 
Pole,kweli picha za instagram zinapotosha. Huyo kaka ni marioo hana lolote. Idaho USA anaishi kwao. Kwanza alipata kesi ya kubaka ndo akakimbilia Tanzania,ndo akaja kuishi Tanzania na kumpata Waconta. This boy ni tapeli flani ni mcongo wale wanaongea swahili,alikuwa anaishi kwenye kambi ya Nyarugusu yeye na familia yake,baadae ndo wakapelekwa USA kama wakimbizi. Eti Dr???????Mario huyoooo hana lolote. Maisha yalimpiga Tanzania ndo akajiweka kumsaidia Wakonta then akawa anamla. Kesi ilivyoisha huyoooo akarudi zake Idaho.
Jamani
Akamdanganya dada wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom