Niko poa Mr Rocky naona simu yangu imegoma ku quote moja kwa moja.
Hiyo wahi tuu tisiaraei waifanyie ukaguzi inawezekana imeeksipaya
Niko poa Mr Rocky naona simu yangu imegoma ku quote moja kwa moja.
Nitaenda ila nitanunua nzuri kwa ajili yahii forum
Utukufu umrudie yeye aliye uuh
thanks for complement
from my lips
Thanks
Inabidi kuwa hivyo
Hahaha. MakapukuSana aise zile enzi zilikuwa bomba sana
Kwa sas azama zimeingiliwa na wavaa mlegezo na wabana pua