Kunatofauti ndogo kati ya kima na ngedere.
Ngedere ni waharibifu na wasumbufu mno wana akili kama nyani. Kima kimaumbile anafanana na ngedere ila hana akili na ujanja kama wa ngedere.
Sasa hv wamepungua sana maana ili ubebe boksi mpska uwe na div 4. Sasa wale wayege wa kahabwa na buronge wameishia kuchimba mchunga migazini na kufyatua tofali.