ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,720
Wacongo Mungu awabariki, wanaipenda sana nchi yetu hii na sisi tuna wapenda sana hawana chuki
Wakongo na Waganda waungwana Sana....
mtu chake[/USER
[/QUOTE]
hahahaha,hujakutana na mkongo ,mkuu
Kila jamii ina pande mbili kama shillingi
uko sahihiUhusiano wetu na Wakongo ni upande wa Manyema Kindu sio Wakongo wote nadhani na Wabemba lakini sio Wakongo wengine.
Zile jamii zinazopakana na ziwa Tanganyika upande wa Drc wanazungumza kiswahili kama kile cha Drc mashariki ?uko sahihi
yap mkuu ,walau wao wana swahili bora,tofauti na wale wa kinshansa au katanga au kasaiZile jamii zinazopakana na ziwa Tanganyika upande wa Drc wanazungumza kiswahili kama kile cha Drc mashariki ?
Hakuna watu wanaoipenda TZ kama wacongo
Huwaambii kitu
Hao wanakula nyani,tumbili,bundi,sokwe..maisha yao 80% wanategemea ndumbaHivi sisi Wakongo na Watanzania hua tuna asili moja au?
Yaani mkongo kama mimi hivi
Nikiwa safarini nikikutana na raia wa INCH nyingine tofauti na Tanzania hua nahisi mwili wangu una kabaridi fulani hata kama tunaongea lugha moja utakuta sina shauku kabisa ya kuona nipo na mwenzangu.
Na hata kwa majanga mengi ambayo yanatukuta mara nyingi wa Tz wamekuwa mstari wa mbele kutufuta macho au kutuonea huruma.
Tuko na zari edosha hapa bajeti nyinyi ni ndugu zetu hasimu wetu toluHivi sisi Wakongo na Watanzania hua tuna asili moja au?
Yaani mkongo kama mimi hivi
Nikiwa safarini nikikutana na raia wa INCH nyingine tofauti na Tanzania hua nahisi mwili wangu una kabaridi fulani hata kama tunaongea lugha moja utakuta sina shauku kabisa ya kuona nipo na mwenzangu.
Na hata kwa majanga mengi ambayo yanatukuta mara nyingi wa Tz wamekuwa mstari wa mbele kutufuta macho au kutuonea huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatuna usitufananishe na hao watu
Labda wanaume wa huko wanafanana na wa dar maana wote wanajichubua