Wakoloni weusi waliowatoa wakoloni weupe 1961 Tanganyika

mnaonaje wa jf

Ni kitu ambacho kimekuwa kwenye fikra zangu kwa muda sasa. Nilipata kusoma mahali kuwa kuna Mangi mmoja alikwenda League of Nations (kama UN ilivyokuwa ikiitwa enzi hizo) kupinga Tanganyika kupewa uhuru kwa vile watu wake hawakuwa tayari kujitawala. I believe the old man was right to some extent given what we are witnessing now! Ukitoa nchi zilizowahi kuwa na vita vya wenyewe, ni serikali ya m.k.w.ere tu iliyoshindwa ku-maintain japo reli ambayo maintenance costs zake is almost negligible!
Thank God, my name will never be directly associated with this pathetically incompetent regime probably globally! Wanatushinda hata Wasomali ambao kwa zaidi ya miaka 20 hawana serikali lakini wanajiendesha bila kutegemea misaada kwa kiwango chetu!!!! Shame on you kikwete na wenzako!
 
Now we have Black Imperialists whose we have bloot ties with them. They are called Petty bourgeoisie.
 
Moyotte voted AGAINST indipendence from France. Wangazija walishtuka, utawala wa mswahili noma!
 
It is debatable.
No one knows the unknows, we will keep-on speculating without the tangibles.
 
Back
Top Bottom