Wakoloni weusi waliowatoa wakoloni weupe 1961 Tanganyika

huna lolote zaidi ya uchochezi.......................mlalamikaji,,,,,,,,,,,,,,mvivu,,,,,,,,,,,,,muongo,,,,,,,,,,,,,,,,mnafiki..................fanya kazi ACHA KABISA KUDANGANYA WANANCHI..........wewe siiiiiiiiiiiiii mtanzania na wala siiiiiiiiiiii mzalendo...
 
Watz tuamke tarehe 09.12.2011 badala ya kusheherekea miaka 50 yakutawaliwa na wakoloni weusi tupambane tusheherekee siku ya kupata uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi
 
huna lolote zaidi ya uchochezi.......................mlalamikaji,,,,,,,,,,,,,,mvivu,,,,,,,,,,,,,muongo,,,,,,,,,,,,,,,,mnafiki..................fanya kazi ACHA KABISA KUDANGANYA WANANCHI..........wewe siiiiiiiiiiiiii mtanzania na wala siiiiiiiiiiii mzalendo...
Acha jazba! Hata Yesu alikufa msalabani kutukomboa wanadamu.
 
Natamani kutembea juu ya maji,natamani kuiona Tanzania niliyoikuta wakati nazaliwa,natamani kuwaona mafisadi wakivuliwa nguo na kutembea uchi hadharani,siku hyo yaja tena ipo malangoni..natamani Mungu aunyoshe mkono wake na kusema siku hiyo ni kesho ama 9.12.2011

Tutawafyeka kuanzia Mbeya,Kuanzia Mwanza,kuanzia Arusha mpaka Dar-es-Salaam
 
huna lolote zaidi ya uchochezi.......................mlalamikaji,,,,,,,,,,,,,,mvivu,,,,,,,,,,,,,muongo,,,,,,,,,,,,,,,,mnafiki..................fanya kazi ACHA KABISA KUDANGANYA WANANCHI..........wewe siiiiiiiiiiiiii mtanzania na wala siiiiiiiiiiii mzalendo...
Wewe ndio mnafki mkubwa mzandiki mshen_nzi chakubimbi mwingereza wewe. Acha wanaume tuingie msituni ***** wewe.
 
Kuna watu humu huwa wakiandika najizuia kuruka kwanza!!

This is home of Great Thinking!! Home of truth!!

Truth will set us all free!!!

Waberoya, vipi mkuu!!!
 
Hakika watanzania mtoto atazaliwa siku si nyingi mtoto ambae ni uhuru wa kweli sio uhuru wa bendera tumeibiwa vya kutosha ,tumenyanyaswa vya kutosha ,tumedhulumiwa vya kutosha tumedharauliwa vya kutosha na sasa tunasema basi tumechoka
 
Vurugu za Mbeya, Arusha na sasa Tabora siyo tu zinawanyima usingizi bali zime-confirm kuwa mwisho wa udhalimu umefika na sasa watanzania wameamka. Kibaya na chakutisha, benki za nje zimeendelea kupokea fedha nyingi zenye majina ya vigogo pasi kufich,a na muda si mrefu wata-anza kuachia madaraka kwa kujiuzulu, kuachishwa na na wako ambao wako tayari kufia humu ndani. Kwa wale ambao wanaonekana wasafi ndani ya CCM bado wako kwenye wasiwasi wa kuaminiwa na jamii. Hivyo muda si mrefu tutawasikia wakihama vyama ama kuungana na mafisadi


Nasema hivi....Nasema kuwa CCM wanaondoka na fedha za taifa hili...AMKA!!!i...hawa CCM .si wahindi ..si wachina..si waarabu ni weusi wenzetu . Ni wale wasaliti wa utaifa na taifa hili.....ni wasaliti wa mababu zetu na utu wetu ndio wanaiba na kuondoka na fedha ...Seriously!
Na wataiacha maskini

CCM ni aibu yetu....tumeiweka aidha ulipiga kura au haukupiga kura...CCM inatakiwa iondoke aidha kwa kupiga kura au bila ya kura!

Mabomu hayasaidii..
risasi zinaleta hamasa..
Virungu vinasisimua mwili..
kifo ni ushujaa
!


Tarumbeta kuu na ipigwe na kutoa sauti.....

waambie kaskazini CCM inatosha!
waambie kusini Tanzania bila CCM inawezekana!
waambie magharibi CCM sasa basi
Mashariki na iseme kwa heri CCM!!


Vilima na milima iseme Karibu Tanzania mpya karibu leo... leo.. leo!

watoto wetu na waimbe...karibu Tanzania mpya leo..leo ..leo!

akina mama pigeni vegelegele vijana pigeni mbinja Tanzania mpya inakuja leo...leo..leo!

Akina baba amkeni..barabara zilizojaa madimbwi zinatusubiri..polisi nao wataungana nasi kuipokea Tanzania mpya..leo..leo..leo!

wapinzani unganeni..raha ya nchi mpya..mtoto mpya ni furaha ya wote....tayarisha nepi na manukato TANZANIA mpya inakuja leo..leo..
leo!


Akina mama vilio vya kuzalia sakafuni vitaisha.......wazee mliokuwa mkisubiria haya mtalia kwa furaha mkisema

Freedom at last .......Freedoma at last..Thank God we have freedom at last!!


CCM Tuachieni Tanzania yetu!

This dream will take a shorter time to be realized. Now is the time.
 
Back
Top Bottom