Mungu tusaidie tufikie hatma zetu ulizotupangia.Mlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana.
Wengine mkafikia hatua ya kuwa familia kabisa.. Kwenu kwao na kwao kwenu. Lakini hatima hazikufanana
Mlikaa dawati moja mkasaidiana masomo, wengine mkacheza pamoja lakini hatima hazikufanana
Darasa moja mkifanana karibia kila kitu, umri sare za shule, family background lakini hatima hazikufanana
Wakumbuke watu wako mliokuwa nao darasa moja leo hii wako wapi na wewe uko wali
Ulikaa na waziri dawati moja
Ulikaa na jambazi dawati moja
Ulikaa na professor, na daktari na engineer
Ulikaa na marehemu😩😔 na mwasiasa mkubwa na tajiri mkubwa, na msanii marehemu.. Fumbo la maisha.. Fumbo la hatima..!
Wengine walikuwa marafiki wakubwa leo ni maadui wakubwa na kinyume chake
Je wewe uko fungu gani? Uko kundi gani? Je wewe ni mmojawapo wa kujitapa kwa watu kwamba ulisoma na fulani na ulimsaidia sana darasani!?🤔😔 Ama wewe ni mfano kwa wengine
Achana na chuo .. Waangalie watoto wanapomaliza shule ya msingi (huwa wanajiita L.Y) Walivyo na furaha ya hatima. Hawajui nini kinawasubiri
Ni ingizo jipya mtaani kwenye dunia isiyo na huruma
Wanaoendelea ni wengi wanaoishia mwanzoni ama katikati ni wachache.. Mimba, ndoa, wizi, madawa jela, 🥺😭 uchizi, nknk
Vita ya hatima.. Ni vita ya kiroho.. Asili, ndoto, mipango na kudra hubeba hatima zetu
Unakumbuka ulipokuwa unaulizwa unataka kuwa nani maishani!?
Unakumbuka mlivyokuwa mkisimuliana vile utakuwa nani ukiwa mkubwa?
Vita ya hatima! Wako wapi watu wako❗❗❗View attachment 3367980View attachment 3367982
(7,187) Marafiki wa kweli ni wa utotoni | JamiiForums Marafiki wa kweli ni wa utotoni
Mipango, kudra na connection.. Maisha ni fumboAisee mmoja alikuwa ndezi saizi ni captain jwtz alikuwa anaitwa Mangulu yeye tumemaliza six Kaunga jeshi support ya familia ya kutosha saizi anakula mema ya inchi.......
Maisha ni fumbo
Hatima huamua kila kitu, siyo Kosa au dhambi kutokua na maisha mazuri ilhali riziki anatoa mwenyezi Mungu, na zaidi bidii zetu kupambanaMlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana.
Wengine mkafikia hatua ya kuwa familia kabisa.. Kwenu kwao na kwao kwenu. Lakini hatima hazikufanana
Mlikaa dawati moja mkasaidiana masomo, wengine mkacheza pamoja lakini hatima hazikufanana
Darasa moja mkifanana karibia kila kitu, umri sare za shule, family background lakini hatima hazikufanana
Wakumbuke watu wako mliokuwa nao darasa moja leo hii wako wapi na wewe uko wali
Ulikaa na waziri dawati moja
Ulikaa na jambazi dawati moja
Ulikaa na professor, na daktari na engineer
Ulikaa na marehemu😩😔 na mwasiasa mkubwa na tajiri mkubwa, na msanii marehemu.. Fumbo la maisha.. Fumbo la hatima..!
Wengine walikuwa marafiki wakubwa leo ni maadui wakubwa na kinyume chake
Je wewe uko fungu gani? Uko kundi gani? Je wewe ni mmojawapo wa kujitapa kwa watu kwamba ulisoma na fulani na ulimsaidia sana darasani!?🤔😔 Ama wewe ni mfano kwa wengine
Achana na chuo .. Waangalie watoto wanapomaliza shule ya msingi (huwa wanajiita L.Y) Walivyo na furaha ya hatima. Hawajui nini kinawasubiri
Ni ingizo jipya mtaani kwenye dunia isiyo na huruma
Wanaoendelea ni wengi wanaoishia mwanzoni ama katikati ni wachache.. Mimba, ndoa, wizi, madawa jela, 🥺😭 uchizi, nknk
Vita ya hatima.. Ni vita ya kiroho.. Asili, ndoto, mipango na kudra hubeba hatima zetu
Unakumbuka ulipokuwa unaulizwa unataka kuwa nani maishani!?
Unakumbuka mlivyokuwa mkisimuliana vile utakuwa nani ukiwa mkubwa?
Vita ya hatima! Wako wapi watu wako❗❗❗View attachment 3367980View attachment 3367982
Said Shekilango (primary) jambazi sugu sasa hivi.. Uraiani hapawezi tenaHatima huamua kila kitu, siyo Kosa au dhambi kutokua na maisha mazuri ilhali riziki anatoa mwenyezi Mungu, na zaidi bidii zetu kupambana
(7,187) Marafiki wa kweli ni wa utotoni | JamiiForums Marafiki wa kweli ni wa utotoniBest friend wa shule ya msingi alifariki tukiwa hatujamaliza
O level tulikuwa kundi watu watano tunasumbua sana... kama siku ikitokea kuna mechi kila mmoja atakuja na kilevi anachotakiwa kuleta (tulipeana vitengo, mimi nilikua in charge kuleta weed), kulikua na wa ugoro, pombe kali, wa ulanzi n.k
a) Mmoja alifariki tukiwa form 4
b) mwingine ni ile aina ya watu wanasemwa, "yule alikua zamani"
c) Mmoja anapiga debe stendi
d) Huyu mwingine taarifa zake sina
Advance na chuo sikuwa na marafiki ambao nilivuka nao hizo hatua. Nje ya mada, hivi ni kweli kwamba marafiki wengi wa ukweli tunawapata O level?
SADDAM,(7,187) Marafiki wa kweli ni wa utotoni | JamiiForums Marafiki wa kweli ni wa utotoni
Olvl na advance Ila Chuo sio kihivoBest friend wa shule ya msingi alifariki tukiwa hatujamaliza
O level tulikuwa kundi watu watano tunasumbua sana... kama siku ikitokea kuna mechi kila mmoja atakuja na kilevi anachotakiwa kuleta (tulipeana vitengo, mimi nilikua in charge kuleta weed), kulikua na wa ugoro, pombe kali, wa ulanzi n.k
a) Mmoja alifariki tukiwa form 4
b) mwingine ni ile aina ya watu wanasemwa, "yule alikua zamani"
c) Mmoja anapiga debe stendi
d) Huyu mwingine taarifa zake sina
Advance na chuo sikuwa na marafiki ambao nilivuka nao hizo hatua. Nje ya mada, hivi ni kweli kwamba marafiki wengi wa ukweli tunawapata O level?
Mfanyakazi mwenzio sio Rafiki yakoNashukuru Mungu kuweza kupata marafiki katika hatua zote nilizopita katika kusoma kwangu.
Shule ya Msingi
Sekondari
Chuo Kikuu
Lakini katika wote hao, marafiki niliobahatika kushikamana nao ni wale wa Shule ya Msingi na Sekondari hasa O'level
Kupitia shughuli za kikazi na ajira, nimefanikiwa kupata co-workers tu, ambao kadri ninavyohama Ofisi moja hadi nyingine ndivyo mahusiano yanapokoma.
Mungu ni mwema, bado tumepata zawadi ya kuendelea kutumia pumzi yake ya bure.
Wapo marafiki/jamaa wengine wachache walishatangulia mbele za haki.
People will love you & support you when there's beneficial 🙏Mfanyakazi mwenzio sio Rafiki yako
Mlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana.