Wako wapi wanasiasa wanaotuaminisha korona bado ipo Dar?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,128
16,096
Angalia hizi picha hakuna kuvaa barakoa lakini wakigeuka huku wanampinga magufuli kwamba watu wanazikwa na serikali haitoi takwimu sahihi.

Pongezi Magufuli, Majaliwa na waziri Ummy. Tunawaona popo kweupe mchana!

tapatalk_1592653563008.jpg
tapatalk_1592653553914.jpg
tapatalk_1592653541892.jpg
tapatalk_1592653519631.jpg
tapatalk_1592653508183.jpg
 
Back
Top Bottom