KIWAVI
JF-Expert Member
- Jan 12, 2010
- 1,817
- 700
Hizo zote ni I'D za mleta uzi
Hizo zote ni I'D za mleta uzi
huyu si yule ana andika kama mkongo ?Zahara hua ananivunja mbavu sijui ni mtu wa wapiii
huyu si yule ana andika kama mkongo ?
utakuta wapo sana tu ila ndo hujui kama ni wenyewe....
nasikia jf ina watu 500 tu
Wewe mwanamke haupo serious
Nawaulizia hasa hawa wawili. Wa kwanza ni Mkuu CHAI CHUNGU. Huyu ni mwanzilishi wa simulizi za kusisimua na zenye muendelezo. Amepotea sana.
Wa pili ni Mkuu Zahra White. Huyu alijipambanua kama mwanadada wa kileo,mrembo na wa mjini hasa. Mabandiko yake yalitikisa hapa MMU. Naye amepotea sana.
Wakuu jitokezeni. Au mwenye taarifa zao azimwage hapa.
CHAI CHUNGU yupo na huwa ana changia jukwaa la siasa na habari mchanganyiko..utakuta wapo sana tu ila ndo hujui kama ni wenyewe....
nasikia jf ina watu 500 tu
Kwi kwi kwi kwi Mkuu kwahiyo anajipa stata mwenyewe
Nilikuwa nalea my kiddo...
Wameongezeka sana sensa ya mwaka jana walikuwa 300utakuta wapo sana tu ila ndo hujui kama ni wenyewe....
nasikia jf ina watu 500 tu