Wako wapi wafuasi kindakindaki wa Magufuli?

Magufuli inawezekana CHADEMA waliokuwa wanampenda ni wengi kuliko kule kwa chawa,wao walikuwa wanapenda uteuzi na vi rushwa
 
Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.

Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.

Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.

Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?

Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Mpaka sasa wameamua kujenga sanamu ili wamuabudu maana kila siku wanapiga mbinja za kumtetea Ila Mungu wao anazidi kupotea tu.

Imebidi walazimishe Hadi masanamu ingali Nyerere na wakuu wengine wa nchi hawajahangaika na kuwekewa masanamu.

Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Wacha wajenge sanamu watakuta imebomolewa wallah.
 
Magufuli hakuwa na wafuasi ila aliishi kwenye mioyo ya watanzania wote kasoro wajinga flani wachache. Kwa hiyo ukimtaja Magufuli unataja maisha ya kila mtanzania mzalendo mpenda maendeleo.
Kunywa sumu umfuate akakuongoze na malaika waasi...
 
Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.

Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.

Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.

Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?

Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Nipo,na mbegu aliyoipanda haitakufa. Siku zaja.
 
1626180188538.png

1626180188538.png
 
Hakuna upambe bila pesa.
Musiba leo anaburuzwa mahakamani miezi 4 ajawalipa watu wake mishahara sababu paymaster general amekwenda zake.
Huwezi sifu kama unufaiki.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom