Wako wapi wafuasi kindakindaki wa Magufuli?

Today is the fourteenth day since jiwe ashushwe below the earth's surface.I believe,now jiwe is FUBAR.If you do not understand what FUBAR is, please do not hesitate to ask me.
 
Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.

Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.

Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.

Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?

Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Unauliza tupo wapi kwani hutuoni, mfyuuuuu! Tunawachora tu 😱 ninyi mnaong'ang'ana kumvua nguo baba, tutawashukia kwa spidi ya zaidi ya mwewe very soon, nyie haya tu😡!
 
Sasa mkuu kwa haya mama anayoyafanya, uchanganye na hii ripoti ya CAG, utakuwa na roho ngumu sana kuibuka na kujitambulisha wewe ni mwanafunzi wake!!wote wameshakula kona!!hata siku hizi tbc huwaoni tena, eti mzalendo namba moja!!siku zote ukiamua kufanya jambo ki ujanja ujanja huwa halina mwisho mwema!!ndio haya, yaliyomkuta "SHUJAA WA AFRIKA"
 
Polepole na Bashiru hawajawahi kumpongeza mama Samia tokea awe Rais
 
Fuatilia vizuri polepole alishampongeza kupitia cheo cha ukatibu mwenezi wa ccm!!sasa bashiru ampongeze kwa kupitia jukwaa gani, japo hata leo akifuatwa akahojiwa lazima tu atampongeza!!!
 
Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.

Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.

Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.

Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?

Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Nadhani wafuasi wa kindakindaki ni wananchi wa chini ambao mambo yakianza kwenda vibaya wanaweza kujitokeza na kuishikisha adabu serikali hasa kwenye uchaguzi kama upinzani wetu nao utajijenga na kuja na hoja zenye mashiko na mawazo mbadala.
 
Umesema kitu moja muhimu sana na kuna 'irony' kubwa ndani yake. Umesema kwamba siku zinakuja ambapo legacy ya Magufuli itategemea Wapinzani ili waitetee!
 
Magufuli hakuwa na wafuasi ila aliishi kwenye mioyo ya watanzania wote kasoro wajinga flani wachache. Kwa hiyo ukimtaja Magufuli unataja maisha ya kila mtanzania mzalendo mpenda maendeleo.
Report ya CAG umesoma???!!!
 
Back
Top Bottom