Wako wapi wafuasi kindakindaki wa Magufuli?

Magufuli hakuwa na wafuasi ila aliishi kwenye mioyo ya watanzania wote kasoro wajinga flani wachache. Kwa hiyo ukimtaja Magufuli unataja maisha ya kila mtanzania mzalendo mpenda maendeleo.
Mapumbavu kweli haya, hivi mnahisi mnapotumia multiple accounts kumdhihaki JPM inasaidia nini? kama Samia mwenyewe si mfuasi wa JPM kwa nini aseme kazi inaendelea? tumetulia sababu yaloanzishwa na JPM yanaendelea kutekelezwa, JPM alichukiwa na vyeti feki pamoja na mlozoea kula vya kunyonga.
 
Mimi nitoe kwenye hilo group sikuwahi kabisa kua hivo uzaniavyo Mimi sio mnafiki
 
Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.

Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.

Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.

Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?

Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Somo kubwa hili: udikteta ni mmbaya sana!
 
Binafsi bado naamini, tumempoteza kamanda mwenye uthubutu

Nitampigania na kumtetea kwa nguvu zote

Alipokosea kama binadamu pia ni vyema ikajulikana

Ila kumkasirikia marehemu na kuleta story ambazo zinateteeka sio poa
Watu hatutaki mwizi apumzike huko aliko.
 
Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.

Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.

Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.

Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?

Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Tupoooooo sanaaaaaa
 
Sio Samia, ndugai Wala majaliwa watanyanyuka kumtetea jpm zaidi ya kumsaliti.Jamani dunia hii imejaa unafiki.CAG nyuma alikuwa kiimya Mara baada tu ya jpm kufariki kageuka.Unafiki unaangamiza taifa
 
Magufuli hakuwa na wafuasi Ila wachumia matumbo na watu waliojaa njaa, wanafiki na waoga, watu wenye kujipendekeza kulikopitiliza, waimba myimbo za mapambio na sifa za kukufuru.

Hawa watu ndo hasa lile kundi hatari Sana lililokuwa pembeni mwa Bwana Mtukufu wa Chato sie twawaita (chawa) ama kupe, maana kupe ataishi kwa kukunyonya damu maisha yake yote. Ili kupe aishi na akue lazima asilete bughudha kwa mnyonywa.

Watu Hawa hawakuwa na upendo na taswira ya kweli kwa Magufuli kwani Mara baada tu ya Magufuli kufariki, tayari upepo umewapeperusha na Sasa wamehamia kwa SSH kufanya Kama kile walichokuwa wanakifanya kwa Magufuli.

Mfano Kuna Zwazwa moja tapeli la Kidini linajiita Masanja Mkandamizaji, hili lijamaaa lilisifu weee na kugalagala kwenye madaraja lakini Magufuli hakuliona linafaa kuwa hata katibu kata, Sasa Magufuli kafariki limeibuka Tena Kwa Samia, linasifu ujinga tu lengo 'Uteuzi'.

Watu Kama akina Kigwangala ndo walikuwa begakwabega na Mtukufu huyo lakini hapa juzi tu ajipambanua kwa kukosoa kile Mtukufu wa Chato alichokuwa anaamini. Kaongea meengi lakini lengo lake likiwa kuikosoa serikali Iliyopita juu ya kuipuuzia Corona kwa kuruhusu utumiwaji wa njia za jadi ikiwa nipamoja na utumiaji wa nyungu (kujifukiza) na mambo Kama hayo.

Ametoa ushauri wa kidaktari na kupendekeza Chanjo nzuri ambayo italifaa Taifa, ameishauri serikali ya SSH iagize chanjo ya Corona.
Sasa watu Hawa ndo walikuwa wapambe wa Mtukufu wa Chato lakini leo hii wamegeuka wapinzani kuliko hata wapinzani wenyewe .

Mtukufu wa Chato Hana chake na ajiandae kusahaulika kwa muda mchache tu. Waswahili husema, “atupae tope humrukia yeye mwenyewe”.
Ila mkuu,nimeamini binadamu hafai kabisa hivi Kweli leo hii Ndugai ni wa kupinga Kauli ya Magufuli Kweli?,Kigwangala ambaye aliwahi kupata ajari Magufuli akaenda kumuona leo hii anampinga mzee hadharani??!!!,Wale akina Nape Nnauye na wengine??. Ndio maana mimi huwa sipendi marafiki kwasababu binadamu ni wanafiki Sana.
 
Asiekuwepo na lake halipo. Mtupoli kafa kabisa kabisa. Wakilipwa watamtetea, wamezoea kununuliwa kama kuku sokoni, aliwazoesha hela na vyeo.

Hakuna mtetezi huko, MaCCM ni wanafiki sana.
Upepo umewapeleka kwa Samia awape hela na maelekezo mapya.
 
JPM kazi alizofanya katika nchi hii ndizo zinazo mtetea, Tangu akiwa waziri mbaka alipo shika u Rais. Japokua Kuna baadhi ya watu wanajaribu kumchafua iyo ni kazi bure, kama binadamu alikua na mapungufu yake Ila amefanya kazi kubwa na nzuri na kazi zake zinajieleza zenyewe. Vizazi vingi vitamkumbuka kwa kazi zake.
 
Magufuli hakuwa na wafuasi ila aliishi kwenye mioyo ya watanzania wote kasoro wajinga flani wachache. Kwa hiyo ukimtaja Magufuli unataja maisha ya kila mtanzania mzalendo mpenda maendeleo.
sorry . alikuwa na wafuasi tena wengi tu.
bila kujua anazungukwa na wanafki. akaendelea kuwachagua huku akilewa sifa.

ndio tumefika hapa. his weakness was his end
 
Mapumbavu kweli haya, hivi mnahisi mnapotumia multiple accounts kumdhihaki JPM inasaidia nini? kama Samia mwenyewe si mfuasi wa JPM kwa nini aseme kazi inaendelea? tumetulia sababu yaloanzishwa na JPM yanaendelea kutekelezwa, JPM alichukiwa na vyeti feki pamoja na mlozoea kula vya kunyonga.
Pamoja na ukali wote ule lkn ngawira bado zinapotea kama kawaida
 
Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.

Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.

Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.

Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?

Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Nawasalimu kwa jina la CAG muitikie Tumepigwa sana
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom