Kalamu Nzito JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 376 Reaction score 850 Feb 11, 2024 #1 Kulikua na wachekeshaji wanajiita Serious Funny TZ ambao walianza takribani miaka 7 iliyopita. Hawa jamaa walikuwa na content za uchekeshaji kuliko comedy tunazoziona sasa hivi. Sikuhizi siwaoni tena. Wako wapi? Your browser is not able to display this video.
Kulikua na wachekeshaji wanajiita Serious Funny TZ ambao walianza takribani miaka 7 iliyopita. Hawa jamaa walikuwa na content za uchekeshaji kuliko comedy tunazoziona sasa hivi. Sikuhizi siwaoni tena. Wako wapi? Your browser is not able to display this video.
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,087 Reaction score 1,896 Feb 11, 2024 #2 Kuna mmoja anaitwa Said , huwa namuona Sana maeneo ya charambe Majimatitu
L Leonardo Harold JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 1,103 Reaction score 2,200 Feb 11, 2024 #3 nilikuwa nawakubali, hawa jamaa walikua bora sana... badae walipokuja kumegeka, wakatengana ndo wakapoteana.... but walikuwa na contect kali sana
nilikuwa nawakubali, hawa jamaa walikua bora sana... badae walipokuja kumegeka, wakatengana ndo wakapoteana.... but walikuwa na contect kali sana
kajamaa kadogo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,722 Reaction score 6,510 Feb 11, 2024 #4 hawa jamaa warudishe hii kitu dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣