Wako wapi wabunge na wateule wa Samia mbona kimya?

Wako wapi wabunge na wateule wa Samia mbona kimya?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu.

Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao

Mikwara ya Mwigulu na Nanauka kujifanya wazalendo imeyeyuka ghafula. Sisi tupo uraiani tunawangoja.
 
Ni swala la muda waanze kuwindwa wao
 
Wanasubiri mambo yatulie waendelee kudemka.

Na kwa taarifa yao kwa hili la mauaji hatuna mpango wa kumove on bila watu kuwajibika. Wazoee tu kuishi hivyo hivyo chini ya maji na wakiwa mitaani ajenda iwe kuhubiri amani feki, Miaka mitano hamna kutekeleza Ilani.

😅
 
Gen Z wamejua kuheshimisha nchi jamani tuseme ukweli..
Ni Disemba lkn utadhani hakuna christmas
Hata zile nyimbo za christmass sizisikii kabisa

Tarehe 29 ilitosha kuweka adabu r.i.p kwa waliotangulia

Hii 9d haina umuhimu sana
 
GT
Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu.

Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao

Mikwara ya Mwigulu na Nanauka kujifanya wazalendo imeyeyuka ghafula. Sisi tupo uraiani tunawangoja.
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_174536_0000.png
 
Mtu mzalendo hapoli uchaguzi kwa maslahi yake,mtu mzalendo hajipqchiki kuwa kiongozi kwa mtutu wa bunduki,mtu mzalendo hawezi kuuwa Zaidi ya raia wake elfu 23 plus,mtu mzalendo hawezi kufukia vijana wazalendo kama kuku waliokufa na kideli,mtu mzalendo hawezi kunyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mtu mzalendo hawezi kufira,kuteka,kubaka,kulawiti na kuuwa,maana ana misingi ya haki katika moyo wake.Huo ndiyo uzalendo
 
Kama taahira ndo anakuwa anakubalika kiasi kile na wananchi basi nchi hii matahira ni wachache sana
Huyu ni tahira na anakubalika kigoma, sababu wakazi wengi wa kigoma wanauelewa mdogo wa mambo!!!
 
Back
Top Bottom