Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Lazima yeye aridhie,alimtaka Mashinji...na ikawa...kura za wazi ziksmuidhinisha.Acheni porojo za kitoto.Kwani viongozi wa Chadema wanachaguliwa na Lowassa au na kamati kuu?
waulize pia kama kweli UKAWA na CHADEMA wamekwisha mbona juzi uchaguzi wa naibu meya wa jiji dar aliyechaguliwa ni wa UKAWA?Kama kweli CHADEMA na UKAWA wamekwisha kwa nini Bunge halirushwi live?
ndo maana magu anatutumbua sana sisi ndugu ktk imani, make akili 0 kabisa. post gan sasa hii ndugu yangu ktk iman?!Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Tembo wameshaisha.Bado hujajibu swali,nimekuuliza Kinana yuko wapi?
Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
unajua mtu mjinga ukisoma alichoandika haraka sana unaweza kuugundua ujinga wake,, wewe unaauliza na kujijibu mwenyewe kama umeshajiridhisha kuwa kazi zote za chadema zinafanyika masaki sasa unauliza nini tena? hapo ndio kwenye ujinga wako!!
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Wengi wao wanasema ni chaguo la luwasaa...kwahio wamesusa..Viongozi na Wabunge wengi nguli wa CHADEMA ninaointeract nao wanakiri "nje ya kiapo" kuwa Katibu Mkuu mpya ni mzigo mzito. Hii project ya Mbowe inaweza kuishusha CHADEMA.
Ulipita lini??Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
umeandika ukweli ambao kiuhalisia vyama vya upinzank waliozoea kujulikana kwa kuipinga serikali wanatakiwa kubadilisha gia angani ili kuendana na kasi ya hapa kazi tu.~~~>>Mimi nipo Kilimanjaro, Kabla ya Uchaguzi mwaka jana lilikuwa jambo la ajabu kujitangaza kama MwanaCCM
~~>>Leo hii ktk Magari na vijiweni habari ni Magufuli.... Jarbu kumpinga Magufuli uone shughuli yake wanaweza hata kukupiga.
Najiuliza kama Kilimanjaro imemkubali Magufuli je Dodoma na mikoa mingine ngome ya CCM itakuwa ktk hali gani???
Wapinzani tumebanwa!
ni mzee maarufuHivi Lowasa ni kama nani ndani ya CDM au UKAWA kwa ujumla?
mkuu ritz hii kasi ya serikali ya awamu ya tano inatishia uhai wa vyama vya upinzani,huu ndio ukweli.Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Magufuli kawauwa kisawasawa,katekeleza sera zao watasemaje sasa,halafu hawa mda mwingine ukiona wanapisha kauli bungeni ni kwakuwa wanapishana maslahi,yani wabunge wa CCM wanajipendelea kuliko kula sawa nao.Magufuli kawafunika wengi sana kwenye ukwapa!! Magufuli kauwa hoja zote za UKAWA!