Wako wapi nguli hawa wa JF?

Wako wapi nguli hawa wa JF?

ndugu zangu,Jf iliheshimika sana na itaendelea kuwa chanzo bora cha mawasiliano ya mtandaoni kwa upande wa Tanzania,ila kufikia mwaka 2010,jamvi limekosa maadili mema kwa kutundika matusi hadharani. Nilionya sana watu waliodiriki kushambulia ID hata za watu wazima kama ya mkandara, mh.zitto, WP Slaa,na hata ya Gavana mstaafu,to mention but these-yani wanatupiwa matusi ya ajabu ajabu! 2010 nikajaribu kubadili ID ili japo kuwa wachangia mada za kawaida ila bado jamvi likawa na mauza uza ya matusi ya nguoni.
 
Wamesahau paswed zao, mod awakumbushe tu watarud au wameenda feisbuk kufurahia picha za totoz mana huku lile jukwaa la mambo ya kikubwa silion
 
Wapi Mama, Kuhani, Dilunga, YE, Asha Abdalla, Kyoma, Chuma, YourNameIsmine, Mwafrika wa Kike, Bubu Msema Hovyo, Game Theory, Ole n.k.....

Dah......

Duh, umenikumbusha mbaliii, natamani hata kulia!

Wapi Rev Kishoka? Hata wewe Bala umekuwa mchunguliaji zaidi, yaani kama vile una-beep tu.
 
Duh, umenikumbusha mbaliii, natamani hata kulia!

Wapi Rev Kishoka? Hata wewe Bala umekuwa mchunguliaji zaidi, yaani kama vile una-beep tu.

Hata mkuu Shossi 5 simwoni. Labda Mzee Mwanakijiji atatujulisha walipo hawa nguli
 
Kwani unaonaje Judgement
hata mimi nilishangaa kuona kuwa mwaka 2011 nilikuwa na akili kuliko hata leo.
Wakati najiunga Jeiefu nilidokezwa eti mdau aki'edit through that colour (red) it means , eti ako Nasa!
Kuna ukweli eti?
 
Last edited by a moderator:
Wadau, wakati najiunga na JF miaka michache ilopita kulikuwa na nguli wakali humu JF na baadhi walijiunga baadae. Wengi ama hawapo, au huchungulia mara moja moja. Kwa kweli nimewa-miss sana magwiji hao, miongoni mwao ni:
Mwafrika wa kike, Abadan, Mama mia, 50 cents, Dua, Mchukia Fisadi, Kana ka nsungu, Miela, Kibanga ampiga mkoloni, FMES, Mugongomugongo.

Nimsihi Invisible ajaribu kuwafuatilia wanajamvi hawa na kuwafikishia ujumbe kuwa tunawa-miss sana na tunahitaji michango yao humu jamvini.

Nguli hawa
 
Tuna ID mpya zile tumetia kapuni....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom