Wako wapi nguli hawa wa JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wako wapi nguli hawa wa JF?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ibrah, Oct 25, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,712
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Wadau, wakati najiunga na JF miaka michache ilopita kulikuwa na nguli wakali humu JF na baadhi walijiunga baadae. Wengi ama hawapo, au huchungulia mara moja moja. Kwa kweli nimewa-miss sana magwiji hao, miongoni mwao ni:
  Mwafrika wa kike, Abadan, Mama mia, 50 cents, Dua, Mchukia Fisadi, Kana ka nsungu, Miela, Kibanga ampiga mkoloni, FMES, Mugongomugongo.

  Nimsihi Invisible ajaribu kuwafuatilia wanajamvi hawa na kuwafikishia ujumbe kuwa tunawa-miss sana na tunahitaji michango yao humu jamvini.
   
 2. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  ...Ibrah....Tupo tunapata kuchungulia mara moja moja. Ila siku hizi vijana wanatimua vumbi sana humu. Inabidi mtu mzima ukae pembeni usije fika nyumbani umechafuka.

  ...Pengine mijadala iliyo na ustaarabu wa kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya wengine imepungua na matusi yamezidi. Ndio maana hoja nzito za kipindi kile zimeadimika.
   
 3. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,712
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nilikusahau nguli mwenzagu Dar si lamu, karibu tuwape vijana maadili. Wako wapi wenzako kina Mwiba, Kibunango na Mtu wa pwani?
   
 4. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  ...Hoa ndugu wameadimika sana.

  ...Kazi ya kuwapa vijana maadili ni ngumu, kwani wameshazoea kuona wakubwa zao na hata wazazi wao wakikosa maadili; angalia hali halisi ilivyo nchini.

  ...Utatuzi unaweza kupatikana katika kulea, kujenga na kuendeleza mada zenye mantiki na maudhui, hapa jamvini.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wangine labda wametangulia mbele za haq
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,057
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mmoja ya watu niliovutiwa nao kipindi najiunga hapa jf. Busara zenu zinahitajika si vizuri kututelekeza!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,057
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa, na hizi id zetu!
   
 8. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,712
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ndo maana nimemwomba Invisible awatafute ki-invisible maana aweza kuwa hata na namba zao za simu.

  Kuna mmoja anaitwa Dua, alikuwa hakosekani humu jamvini, nadhani yeye alikuwa UK kama sikosei. Ukimya wake inawezekana kabisa hayuko nasi duniani.

  Lakini hata Mwanakijiji kapunguza sana kuonekana humu, au chamboche Dar si lamu kuwa michango makini imekosekana na maadili yameporomoka humu JF?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,436
  Likes Received: 28,269
  Trophy Points: 280
  Wapi Kada Mpinzani?
   
 10. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wamestaafiswa na invissible!!
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  pheeeeew
   
 12. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,257
  Likes Received: 856
  Trophy Points: 280
  Wapi Mama, Kuhani, Dilunga, YE, Asha Abdalla, Kyoma, Chuma, YourNameIsmine, Mwafrika wa Kike, Bubu Msema Hovyo, Game Theory, Ole n.k.....

  Dah......
   
 13. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Labda wamebadili ID
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,057
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Na hili pia linawezekana.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  hivi ChaMtuMavi yupo wapi?
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Kuna mmoja ndio mimi hapo ila nilibadili ID.
   
 17. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tunakosa sana msisimko ule wa miaka ya 2006/7 wakati hata mimi nilikuwa guest tu. Wakati ule kulikuwa na hoja nzuri na za kusisimua sana. Hata wachangiaji wengi walikuwa wakijibizana kwa facts tena bila matusi wala lugha chafu. siku hizi humu jamvini ni shida tupu.
  At least Mzee Mwanakijiji huwa namuona from time to time lakini amekuwa sio Mwanakijiji yuleee wa 2006/7
  Huko mliko wajameni p/se mje mtumegee nasaha mbili tatu. Mchango wenu unahitajika hapa JF
   
 18. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kiukweli JF niliyokuta 2008, wakati ule kulikuwa na scandal ya BOT nakumbuka, mtu ulikuwa unasoma thread hutaki kuondoka. Siku hizi MMU na siasa za ushabiki ndiyo vimechukua chati. Binafsi mimi ningependa busara za wana JF zirudi, tulikuwa tunapata mafunzo mengi yanayohusu nchi yetu na ilikuwa kuwa mentorship ya kupata viongozi wa baadae.
   
 19. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji na wakongwe wenzio wote wa JF ilipoanzishwa na toka mlivyokuwa tanzatl.org twawaomba mrudi
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,436
  Likes Received: 28,269
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaa...unamkumbuka Grandhustle?
   
Loading...