Wako wapi Misanya Bingi na Monica mfumia

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,602
37,797
Wana jamii,

Kuna hawa watanganzaji wawili waliibuka sana kipindi kile -- nakumbuka at my school age nilipenda kwenda pale salentine inn -- mwenge siku za weekend lazima utamkuta monica mfumia pale na marafiki zake -- pia Misanya naye aliibukia sana anga za utangazaji wa Redio.

Ningependa kujua hawa watu wapo kweli bongo land? na wanafanya nini mbona hatuwasikii katika tasnia ya utangazaji? ni info tu wakuu sina makuu.
 
Misanya Dismas Bingi ni mhadhiri katika Sociology Department, University of Dar es Salaam.
aisee -- hongera zake maana kapotea kabisa itabidi niende kumpa hi -- ngoja nisubiri info za huyu mwingine
 
waliosimama..watatu kutoka kushoto...nasikia yupo uingereza
Radio+One+Dream+team+1995.jpg

[h=1]2 Results for Monica Mfumia[/h] Looking for Monica Mfumia? Below are the results from the UK electoral roll and company director data. You can narrow your search by adding a location above if you wish.

NameAddressOther OccupantsElectoral RollDirector InfoLength of OccupancyNeighboursProperty Price
1 Monica Mfumia Aylesbury, Buckinghamshire, HP21 Full Address Sam Mfumia
2002

View
2 Monica Mfumia Age Guide: 45-49
Aylesbury, Buckinghamshire, HP19 Full Address Oswald D Lucas
 
Dah mdau umenikumbusha mbali kweli... Last time nimemuona Monica ilikuwa in 1998 England na Mumewe Lucas. Toka hapo sikuwahi kuwasiliana nao tena. Natumai ni wazima wa afya kabisa
 
Na deo mshighine aliyekuwa mtangazaji wa redio one yuku wapi?
 
Wana jamii,

Kuna hawa watanganzaji wawili waliibuka sana kipindi kile -- nakumbuka at my school age nilipenda kwenda pale salentine inn -- mwenge siku za weekend lazima utamkuta monica mfumia pale na marafiki zake -- pia Misanya naye aliibukia sana anga za utangazaji wa Redio.

Ningependa kujua hawa watu wapo kweli bongo land? na wanafanya nini mbona hatuwasikii katika tasnia ya utangazaji? ni info tu wakuu sina makuu.
Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J.

RIP MISANYA DISMAS BINGI!
P.
 
Back
Top Bottom