Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 11,436
- 16,650
Kwahiyo mahubiri yalikua ya jweli au lah, na waumini walikua wanafata mahubiri au trend?October 29 imebadilisha vitu vingi sana 🙌🏾
Kwahiyo mahubiri yalikua ya jweli au lah, na waumini walikua wanafata mahubiri au trend?October 29 imebadilisha vitu vingi sana 🙌🏾
Mjinga WEWE.Ya kweli haya au ndio vile hua mnajidunga wote hizo heroine na cocaine yeye na wewe?
Nikisema ya mchongo utanielewa 😅Kwahiyo mahubiri yalikua ya jweli au lah, na waumini walikua wanafata mahubiri au trend?
Ntaunga mkono hoja mkuu 🤣Nikisema ya mchongo utanielewa 😅