Wako wapi hawa!

Wako wapi hawa!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,880
Reaction score
828,435
Mungu hadhihakiwi!
Wamefubaa/ wamefubazwa mitandaoni

Masanja mkandamizaji.. Sehemu kubwa ya mahubiri yake kwenye kanisa lake la mchongo ilikuwa kumsifia mkewe na wanawake wenye makalio makubwa! Akaishia kupigwa baya na baadae katibu wake akafariki kifo tata! Tangu hapo akageuka kuwa chawa anayekera sana.. Hasikiki tena sasa!

Tony Kapola na muujiza wa kujaza mtungi wa gesi kimiujiza..muujiza huo aliusema mkewe na kuzua gumzo kubwa mitandaoni!.. Wawili hawa badala ya kutubu na kuwa wanyenyekevu wakaanza kejeli kashfa na dharau kwa kila aliyejaribu kuhoji muujiza wa gesi.. Baada ya tukio hilo walipotea na hawakutrend tena

Hananja
Mchungaji mlamba midomo aliyekuwa anatrend sana mitandaoni kutokana na style yake ya kuhubiri
Karibia na uchaguzi mkuu akaamua kuwa upande wa dhuluma na kuwananga watanganyika kwa vijembe na kelele.. Huo ulikuwa mwisho wake wa kutrend!!.

Je wanaweza kujifananisha enzi zao na sasa!?
 
29 haikumuacha mtu salama na bado watazidi kupotea zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom