Wako wapi hawa

Wako wapi hawa

Walikimbilia Uganda enzi ya Jiwe! Sasa wamesikia mshikaji wao VascoDagama ameshika hatamu na Amos Makalla ndio mkuu wa mkoa wa DSM wameanza kurudi mmoja mmoja. Wapo mjini wanabarizi!
 
Nchi imefunguliwa yatarudi tena haya majizi kumwaga noti. Uliowataja hapo hakuna hata mmoja mwenye akili binafsi ya kutengeneza mfumo wa kumpa pesa nje ya upigaji, dhuluma, feki, wizi. Jizi Sugu Alex massawe lipo south. Jack Pemba alikimbilia Uganda kisha USA. Kina Nyari na Mawalla walikuwa mawakili wa kutetea wezi.Yamewapiga Sana wazungu kuwauzia vitalu na madini feki.JPM ndie aliyasambaratisha majizi yote. Naona mama atayarejesha
Mkuu kama mtu anaweza ku survive Bongo, Uganda, South Africa mpaka America huyo mtu iko akili mu kichwa aisee
 
kipindi icho kila kona ya Dar inawaka moto,Kijiji cha Makumbusho moto wa Ngwasuma,Mango Garden moto wa Twanga,Ilala kuna moto wa Msondo ya mzee Gurumo,American chips Kinondoni foleni ya kiepe.
Amakweli zama hazirudi nyuma.
 
Huyo si boss wa tp mazembe mkuu kama ni huyo bado yupo vizuri
Mzamiri Katunzi na TP Mazembe wapi na wapi? Mzamiri yupo Mbezi Beach kajifungia pengine atatoka sasa mjomba wao wa Msoga ameshika nchi!
 
Wako wapi Ndama mutoto ya ng'ombe, Abdul tall, Chief Kiumbe the big boss, Jacky Pemba, Texas Istadh Juma na Musoma, Brother K na Tunduma, Papaa Mutarika walitamba sana hapo nyuma walikuwa wakimwaga noti kwenye show za dansi kama mchanga.

Bila mapapaa mziki wa dansi haunogi
Kila zama na kurasa zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom