BungelaKatiba2014tz
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,231
- 649
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Duh! Leo mnamkana babu wa mabadiliko.Kimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Naa kweli.wamerudi kwenye biashara zao halali
Kimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Duh! Leo mnamkana babu wa mabadiliko.
Haya ni majibu ya kijuha sana. Kani wewe Ben ndo msemaji wao? Mleta mada kauliza hivyo kwa vile watajwa hapo juu taarifa zao zilikuwa nje nje. Kwa sasa hata kwenye media hawaonekaniKimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Hahahahahaaaaaaa! Yeriko ananyea debe sasa hivi. Alijifanya kuwa yeye ni bingwa wa kutunga uongo na uzushi na kuusambaza mitandaoniNa yule GWIJI LA FB YERICK
Kwani kuna mahala imeandikwa kuwa kila mwana mabadiliko ni CHADEMA? Vipi wale wa CUF, NCCR, NLD na hata Magufuli?Good ,Kumbe kila mwanabadiliko ni lazima awe CHADEMA?Sasa msiongelee mabadiliko mkiwa huko vichochoroni
Haya ni majibu ya kijuha sana. Kani wewe Ben ndo msemaji wao? Mleta mada kauliza hivyo kwa vile watajwa hapo juu taarifa zao zilikuwa nje nje. Kwa sasa hata kwenye media hawaonekani
Nyie mnaongelea mabadiliko. Huku kuna mabadiliko ya kweli.Good ,Kumbe kila mwanabadiliko ni lazima awe CHADEMA?Sasa msiongelee mabadiliko mkiwa huko vichochoroni
Malofa, Wapumbavu na Manyumbu hamjaachaga kutukana tu.Acha uboya ww...unakua kama hukaliagi ombo bnaa....
Bashir Awale amewaingiza mkenge.Hahahahahaaaaaaa! Yeriko ananyea debe sasa hivi. Alijifanya kuwa yeye ni bingwa wa kutunga uongo na uzushi na kuusambaza mitandaoni
Acha mama, tumuombee , aliko hata wanaume ni wanawake.Na yule GWIJI LA FB YERICK
Kwani kuna mahala imeandikwa kuwa kila mwana mabadiliko ni CHADEMA? Vipi wale wa CUF, NCCR, NLD na hata Magufuli?