Wako wapi akina Mkwawa!

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
4,942
6,183
Kiukweli unapozungumzia majemedali nchii hii huwezi kukosa jina Mkwawa.Sasa hili jina limefutika katika siasa za Tz,je Mkwawa family wameshindwa kuendeleza kizazi cha viongozi?Tangu adam sapi mkwawa hajaibuka jemedali mwingine.Nimechoka kusikia vituko vya yule wa Mbeya,ina maana Iringa hakuna tena vichwa vya kuiwakilisha.JPM ikumbuke hii familia katika teuzi zako babu yao alifanya makubwa kwa ajili ya taifa,sio vibaya kila awamu wapewe angalau kanafasi kamoja japo sio lazima.
 
Kama watu watateuliwa kwa sababu ya kuwaenzi babu zao Basi Tanzania bado tuko nyuma sana
 
mkwawa,kinjekitile,bwana kheri,milambo,isike,abushiri hawakumbukwi kabisa,kila kitu nyerere,hivi kwa nini bwawa la umeme rufiji lisiitwe kinjekitile ngwale!?
 
Kama watu watateuliwa kwa sababu ya kuwaenzi babu zao Basi Tanzania bado tuko nyuma sana
Walimwaga damu yao wakati babu yako alikuwa amejificha ndani anaogopa kufa.Nimesema sio lazima uwe unauelewa na ndio maana nimeuliza kuwa hakuna alierithi karama za mkwawa maana hao ndio watu tunaowataka,watu wasio ogopa mabaeberu.
 
Kama watu watateuliwa kwa sababu ya kuwaenzi babu zao Basi Tanzania bado tuko nyuma sana
Ila malikia wa uingereza akirithisha ufalme sawa?Kim sung kurithi uraisi sawa!Akina bush waliporith uraisi sawa! Ila sisi bado tuko nyuma!.Unafikiri kwa nini mpaka leo marekani anawaandama watoto wa Hossama Binladen,si angewaacha tu, ianajua the power of DNA inavyofanya kazi,kama babu yako hakuacha ligacy kwa nini upinge watu walioacha ligacy.Weka kumbukumbu ndugu hutasahaulika.
 
Hao watoto marekani hajawaua kweli

Spirit ya wazee hao kizazi hiki cha kalalamika mitandaoni bila action haipo tena
 
Utawala wa Rais huyu Mzalendo Cheo ni dhamana sio Shukran

Ingekuwa Shukran kina Ridh 1, Januari na Nape na Kinana wangekuwa wapo kwny teuzi za Rais mpaka muda huu

Kuna Mtu kampigania Urais JPM kama Jk lakin kina Ridh1 hata unaibu wanausikia kwny TV

Rais Magufuli ni Rais kweli kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom