Ooyoo hii kidogo imenivutia na hasa ya makamandoo naona kama wanataka kuiteka sehemu ya karkakoo maana hawa wamachinga nk wabishi sana wapo tu kariakoo na washajengewa ilala yaani machinga complex ni safi tena la gorofa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.