Mke anaeishi MASAKI akimuagiza mumewe"honey plz ukitoka kazini nilitee soseji,piza au kuku,plz swty usisahau"
Ishu ipo kwa Mke wa TANDALE"Utackia "wewe Juma usisahau ukirudi uje na miguu ya kuku,muhindi wa kuchoma weka na ndimu na pilipili nyingi,embe ng'ong'o,mihongo ya kukaanga na utumbo wa kuku usisahau kuweka ndimu na pilipili"
WW MKEO/MUME NI WA WAPI?ANAANGIZA VIPI?
Wife ukirudi pitia karanga Mbichi hapo sokoni!
Wife ukirudi pitia karanga Mbichi hapo sokoni!
kweli naona mtarimbo wako haulali doro"Hun ukirudi naomba uniletee mtarimbo ukiwa haujatumiwa na mtu mwingine"
Afu wewe si nlikwambia ntakutia kwenye ignore list yangu?........kweli naona mtarimbo wako haulali doro
Hahaha! Naona mazee yako muda si mrefu ataanza kuhitaji msaada wa Viagra!
Nguli yuko wapi wajameni nimemmiss mie ...
this is my husband....pls. Comeback home first...
Mafuriko ya Kilosa ulichangia? Alikuwa mmojawapo wa waathirika.
Leo mwisho wa mwezi......... ukishapata mshahara breki ya kwanza nyumbani.........Mke anaeishi MASAKI akimuagiza mumewe"honey plz ukitoka kazini nilitee soseji,piza au kuku,plz swty usisahau"
Ishu ipo kwa Mke wa TANDALE"Utackia "wewe Juma usisahau ukirudi uje na miguu ya kuku,muhindi wa kuchoma weka na ndimu na pilipili nyingi,embe ng'ong'o,mihongo ya kukaanga na utumbo wa kuku usisahau kuweka ndimu na pilipili"
WW MKEO/MUME NI WA WAPI?ANAANGIZA VIPI?
ha ha ha ha ha ha ha ha nilikuwa na sms kumbe basi zitakuwa zimemsaidia !