Wakishaolewa, acheni kuwafuatilia mlio zaa nao, ni hatari

Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi, anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano

Huyo ni mke wa mtu, single maza ni mke wa mtu sasa mahusiano lazima yawepo mkuu, mwambie mwanaume mwezetu akubali kushare maana alikuta teyari ni mke wa mwanaume mwezake tofauti na hapo atafute wa kwake aachane na mke wa mtu.
 
Single mothers wazuri ni wale waliofiwa na waume zao! Hawa ndiyo wanapaswa kuolewa kama wanaume watakakubali kutunza watoto wao! Hawa ndiyo wenye akili.
Lakini hawa single mothers waliozalishwa na wanaume ambao bado wako mitaani, hawafai kuolewa! Hawa ni Wapumbavu kabisa.
Just imagine Single mother alizalishwa na akatelekezwa harafu amepata Mwanamme mwingine amemuoa bado anaendeleza Uhusiano na huyo aliyemzalisha na kumtelekeza?
MWANAUME KABLA HUJAOA SINGLE MOTHER ALIYEZALISHWA NA KUTEKELEZWA FIKIRI MARA MBILI AU MARA TATU KABLA HUJAINGIA KWENYE MATATIZO!
Ndio maana kwenye Biblia haijatoa ruhusa mwanamke aliye achika kuolewa akifanya hivyo aliyemuoa afanya uzinzi!!
Isolipokuwa mwanamke ambaye amefiwa na mume wake huyo ni ruksa kumuoa.
Watu wasome vitabu vitakatifu watakuwa salama wewe hata kama humwamini Mungu soma tu kama sehemu ya kujifunza.

Hizi kauli za vijana sioi single mother mpaka nionyeshwe kaburi la mzazi mwenzake
Ukizichunguza ziko sahihi 100%
 
Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi, anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano

Huyo ni mke wa mtu, single maza ni mke wa mtu sasa mahusiano lazima yawepo mkuu, mwambie mwanaume mwezetu akubali kushare maana alikuta teyari ni mke wa mwanaume mwezake tofauti na hapo atafute wa kwake aachane na mke wa mtu.
Kiukweli jamaa hapo yuko na mke wa mtu...single mother hapana sitaki kukumbuka huu ujinga ni maumivu makubwa hasa ukimpenda!
 
Yani hiyo kauli ni ya kumuaminisha jamaa ake kuwa hampendi huyo mwana mwingine ila ukwelii huyo jamaa mwingine anamkulaa bado huyo mwanamke. ANAMKULA BADO.
 
Hapa ndio hatari ya single maza inapokuja. Juzi kati nilipewa stori ya kuachana kitoto sana.
Mdada single maza aliyeolewa aliendelea kuwasiliana kwa siri na mzazi mwenzie. Ndoa ilikuwa na mtoto mmoja na yule aliyezalishwa nje ya ndoa alikuwa akiishi kwa baba yake.

Siku moja mume akakuta sms kwenye simu ya mke akiulizwa na jamaa aliyemzalisha "mtoto wetu hajambo" . Mume akapaniki akajua huyo mtoto sio wake. Mke akajitetea kwamba ilikuwa utani tu hakuna jambo baya. Hakufanikiwa kumshawishi ukizingatia alishakatazwa kabisa kuwasiliana naye mpaka jamaa apitie kwa mume. Mwisho wakaachana

Kama una roho ndogo usioe single maza
 
Single maza ni kwikwi isiyo na tiba.
NDOA NI UTAPELI NA ULAGHAI
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO
 
Nimetoka kwenye kikao cha usuluhishi usiku huu, wanandoa wanagombana kisa simu anazopigiwa mwanamke na mzazi mwenzake. Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi, anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano.

Sasa kuna kauli tata imetolewa na bibie ndiyo iliyonisukuma nifungue uzi huu.
Hii hapa - "Shemeji mimi nimechoka, naipenda sana ndoa yangu lakini mume wangu hana imani kabisa na mimi, sina raha kwasababu ya mzazi mwenzangu, naomba Mungu huyu mzazi mwenzangu afe tu ili ndoa yangu iwe na amani, mbona mzazi mwenza wa fulani alishakufa na ndoa yao ina amani.

Nimemwambia Shemeji ukisema hivyo unakosea sana, hiyo hatua uliyofikia kumuombea kifo binadamu mwenzako sio sawa kabisa, kama mumeo hataki upigiwe simu basi mwambie huyo baba nanii asiwe anakupigia,.,.." kabla sijamaliza kanikatisha ,"Hooo hapana Shemeji yaani hata ningekuwa na uwezo wa kumuua ningemuua tu ili nipate amani ya moyo wangu, sina raha.

Nikaona nije kwenu nyinyi mnaojisifia kupasha viporo na wazazi wenzenu, kuna mwenzenu anaplaniwa kuuawa ili kunusuru ndoa, kuweni makini.
Huyo dada ameshindwa kubadili namba ya simu, na akastrictly namba yake kwa kutompa mtu yoyote, inatia shaka, Wanawake hawaaminiki sometimes wanakuwa ndumi lakuwili aidha arudishe mtoto kwa bibi na babu.
 
Kuna Binti namfahamu, nadhani kwa udogo wake 23yrs alijikuta amepigwa Mimba, halafu kijamaa kikaenda kuoa mke mwingine, yule Binti amepambana sasa hivi ana jamaa mwingine kwenye mahusiano tu, yule dogo mzazi mwenzie kaanza kumsumbua mbaya kabisa, huyo dogo mpaka katafuta namba za simu za jamaa wa huyo Binti anampigia eti amuacheke wake, yaani Binti yuko kwenye majuto na mawazo mengi sana, kakutana na mtu wanapendana, halafu huyo mzazi mwenzie anamharibia ilihali ana ndoa yake tayari huyo dogo, kuna namna pia vijana wa sasa ni wapumbavu sana

Kwanza hiyo dogo Alisha enda kumchukua mtoto kwa nguvu kutoka kwa Binti akampeleka kwao huyo kijana, Binti akabaki mwenyewe na Wala hakutaka kupambana nae, sasa ameamua kua na maisha yake mengine, lakini dogo tena anamharibia, na dogo tayari ana mke kaoa, Kuna akili za kijinga sana hapa nchini
Huyo binti hana akili sawa na aliye zaa nae.
Kwanini asiende mahakamani kuomba restraining order?
Jamaa akivunja hiyo amri ya mahakama anaenda jela.
 
Afisa kipimo hasira wa Jamii forum. Unajipanikisha panikisha sababu una kiherehere.
yaelekea uliachana na mme wako wa kwanza kutokana na tabia yako mbaya, umepata mume mwingine halafu unataka uwe na mahusiano sawa, umejawa na makasiriko baada ya kutibua mpango wako wa kuolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja. Tulia na mme mmoja huyo mpya usichanganye wanaume ni hatari
 
Kiherehere kinakutesa
 
Back
Top Bottom