Wakishaolewa, acheni kuwafuatilia mlio zaa nao, ni hatari

Jan-uary

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
967
1,015
Nimetoka kwenye kikao cha usuluhishi usiku huu, wanandoa wanagombana kisa simu anazopigiwa mwanamke na mzazi mwenzake. Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi, anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano.

Sasa kuna kauli tata imetolewa na bibie ndiyo iliyonisukuma nifungue uzi huu.
Hii hapa - "Shemeji mimi nimechoka, naipenda sana ndoa yangu lakini mume wangu hana imani kabisa na mimi, sina raha kwasababu ya mzazi mwenzangu, naomba Mungu huyu mzazi mwenzangu afe tu ili ndoa yangu iwe na amani, mbona mzazi mwenza wa fulani alishakufa na ndoa yao ina amani.

Nimemwambia Shemeji ukisema hivyo unakosea sana, hiyo hatua uliyofikia kumuombea kifo binadamu mwenzako sio sawa kabisa, kama mumeo hataki upigiwe simu basi mwambie huyo baba nanii asiwe anakupigia,.,.." kabla sijamaliza kanikatisha ,"Hooo hapana Shemeji yaani hata ningekuwa na uwezo wa kumuua ningemuua tu ili nipate amani ya moyo wangu, sina raha.

Nikaona nije kwenu nyinyi mnaojisifia kupasha viporo na wazazi wenzenu, kuna mwenzenu anaplaniwa kuuawa ili kunusuru ndoa, kuweni makini.
 
Ukikubali kuanza mechi 1 - 0 wewe tegemea chochote, by the way kataa ndoa, kataa utapeli....mtamuua halafu muishie jela

84e832cc-b853-40d1-bcf9-bd0d2aae2bec.sized-1000x1000.jpeg
 
Nimetoka kwenye kikao cha usuluhishi usiku huu,Wanandoa wanagombana kisa simu anazopigiwa mwanamke na mzazi mwenzake.Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi ,anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano.
Sasa kuna kauli tata imetolewa na bibie ndiyo iliyonisukuma nifungue uzi huu.
Hii hapa - "Shemeji mimi nimechoka,naipenda sana ndoa yangu lakini mume wangu hana imani kabisa na mimi,sina raha kwasababu ya mzazi mwenzangu,naomba Mungu huyu mzazi mwenzangu afe tu ili ndoa yangu iwe na amani,mbona mzazi mwenza wa fulani alishakufa na ndoa yao ina amani.
Nimemwambia Shemeji ukisema hivyo unakosea sana ,hiyo hatua uliyofikia kumuombea kifo binadamu mwenzako sio sawa kabisa,kama mumeo hataki upigiwe simu basi mwambie huyo baba nanii asiwe anakupigia,.,.." kabla sijamaliza kanikatisha ,"Hooo hapana Shemeji yaani hata ningekuwa na uwezo wa kumuuwa ningemuuwa tu ili nipate amani ya moyo wangu,sina raha.
Nikaona nije kwenu nyinyi mnaojisifia kupasha viporo na wazazi wenzenu,kuna mwenzenu anaplaniwa kuuwawa ili kunusuru ndoa,kuweni makini.
Kuoa single mother hakuna tofauti na kuoa mke wa mtu
Hapo cha kukushauri tu inatakiwa huyo mtoto apelekwe kwa mama yake na mwanamke au mwanaume aliyemzalisha.
 
Nimetoka kwenye kikao cha usuluhishi usiku huu,Wanandoa wanagombana kisa simu anazopigiwa mwanamke na mzazi mwenzake.Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi ,anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano.
Sasa kuna kauli tata imetolewa na bibie ndiyo iliyonisukuma nifungue uzi huu.
Hii hapa - "Shemeji mimi nimechoka,naipenda sana ndoa yangu lakini mume wangu hana imani kabisa na mimi,sina raha kwasababu ya mzazi mwenzangu,naomba Mungu huyu mzazi mwenzangu afe tu ili ndoa yangu iwe na amani,mbona mzazi mwenza wa fulani alishakufa na ndoa yao ina amani.
Nimemwambia Shemeji ukisema hivyo unakosea sana ,hiyo hatua uliyofikia kumuombea kifo binadamu mwenzako sio sawa kabisa,kama mumeo hataki upigiwe simu basi mwambie huyo baba nanii asiwe anakupigia,.,.." kabla sijamaliza kanikatisha ,"Hooo hapana Shemeji yaani hata ningekuwa na uwezo wa kumuuwa ningemuuwa tu ili nipate amani ya moyo wangu,sina raha.
Nikaona nije kwenu nyinyi mnaojisifia kupasha viporo na wazazi wenzenu,kuna mwenzenu anaplaniwa kuuwawa ili kunusuru ndoa,kuweni makini.
Kuna Binti namfahamu, nadhani kwa udogo wake 23yrs alijikuta amepigwa Mimba, halafu kijamaa kikaenda kuoa mke mwingine, yule Binti amepambana sasa hivi ana jamaa mwingine kwenye mahusiano tu, yule dogo mzazi mwenzie kaanza kumsumbua mbaya kabisa, huyo dogo mpaka katafuta namba za simu za jamaa wa huyo Binti anampigia eti amuacheke wake, yaani Binti yuko kwenye majuto na mawazo mengi sana, kakutana na mtu wanapendana, halafu huyo mzazi mwenzie anamharibia ilihali ana ndoa yake tayari huyo dogo, kuna namna pia vijana wa sasa ni wapumbavu sana

Kwanza hiyo dogo Alisha enda kumchukua mtoto kwa nguvu kutoka kwa Binti akampeleka kwao huyo kijana, Binti akabaki mwenyewe na Wala hakutaka kupambana nae, sasa ameamua kua na maisha yake mengine, lakini dogo tena anamharibia, na dogo tayari ana mke kaoa, Kuna akili za kijinga sana hapa nchini
 
Nimetoka kwenye kikao cha usuluhishi usiku huu,Wanandoa wanagombana kisa simu anazopigiwa mwanamke na mzazi mwenzake.Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi ,anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano.
Sasa kuna kauli tata imetolewa na bibie ndiyo iliyonisukuma nifungue uzi huu.
Hii hapa - "Shemeji mimi nimechoka,naipenda sana ndoa yangu lakini mume wangu hana imani kabisa na mimi,sina raha kwasababu ya mzazi mwenzangu,naomba Mungu huyu mzazi mwenzangu afe tu ili ndoa yangu iwe na amani,mbona mzazi mwenza wa fulani alishakufa na ndoa yao ina amani.
Nimemwambia Shemeji ukisema hivyo unakosea sana ,hiyo hatua uliyofikia kumuombea kifo binadamu mwenzako sio sawa kabisa,kama mumeo hataki upigiwe simu basi mwambie huyo baba nanii asiwe anakupigia,.,.." kabla sijamaliza kanikatisha ,"Hooo hapana Shemeji yaani hata ningekuwa na uwezo wa kumuuwa ningemuuwa tu ili nipate amani ya moyo wangu,sina raha.
Nikaona nije kwenu nyinyi mnaojisifia kupasha viporo na wazazi wenzenu,kuna mwenzenu anaplaniwa kuuwawa ili kunusuru ndoa,kuweni makini.
Tatizo ni Mwanamke, kama amekubali kuolewa na mwingine akubali pia mashartivya mume wake na aache kujihusisha na yule aliyemkataa.

Kama anampenda huyo mzazi mwenzake, kwanini asiolewebna huyo?

Pia wanaume mnaooa single maza muwe na maamuzi yaliyo kamili ili kuepuka msuguano wa namna hii
 
Nimetoka kwenye kikao cha usuluhishi usiku huu,Wanandoa wanagombana kisa simu anazopigiwa mwanamke na mzazi mwenzake.Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi ,anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano.
Sasa kuna kauli tata imetolewa na bibie ndiyo iliyonisukuma nifungue uzi huu.
Hii hapa - "Shemeji mimi nimechoka,naipenda sana ndoa yangu lakini mume wangu hana imani kabisa na mimi,sina raha kwasababu ya mzazi mwenzangu,naomba Mungu huyu mzazi mwenzangu afe tu ili ndoa yangu iwe na amani,mbona mzazi mwenza wa fulani alishakufa na ndoa yao ina amani.
Nimemwambia Shemeji ukisema hivyo unakosea sana ,hiyo hatua uliyofikia kumuombea kifo binadamu mwenzako sio sawa kabisa,kama mumeo hataki upigiwe simu basi mwambie huyo baba nanii asiwe anakupigia,.,.." kabla sijamaliza kanikatisha ,"Hooo hapana Shemeji yaani hata ningekuwa na uwezo wa kumuuwa ningemuuwa tu ili nipate amani ya moyo wangu,sina raha.
Nikaona nije kwenu nyinyi mnaojisifia kupasha viporo na wazazi wenzenu,kuna mwenzenu anaplaniwa kuuwawa ili kunusuru ndoa,kuweni makini.

Mwongo huyo na shenzy, kwani akibadili namba atapigiwa tena? Wanawake wana laaana, unaweza:

  • Badili namba
  • M block.
  • Awasiliane na Ndugu au Mama.

Nyingine zote ni mbwembwe tu, mimi nisingevumilia one call ya Mzazi mwenzake na mke, na wala pasingekuwa na kikao cha usuluhisho.
 
U mean angefanya maamuz ya kutokumwoa single mom before.... Usimwamini usiyemjua...na so wote wanaolialia na ndoa humu waliowaoa ni single mom......kama ulivyosema hapana mwongozo...humjui atakayekuumiza....nakutakia machaguo mema
Sijamaanisha hivyo japo hiyo ni miongoni mwa option muhimu. Kwa upande wangu nikiwa na single maza huwa akili naiandaa kabisa ili nisipate shida.

Nna mfano halisi wangu mwenyewe kuna kipindi nilikuwa na single mom mmoja alikuwa akimkandia sana mwenzie na akadai hawawasiliani kabisa na amemblock, akawa busy kaacha sim mezani ikawa inaita kucheki ni baba mtoto anapiga(alipiga 3 times), alivyokuja akanyanyua simu akaenda kuongelea nje hata sikuhangaika nae niliishia kucheka nikikumbuka alichokuwa anakisema.

Kumuamini mtu ni kazi sana.
 
Sijamaanisha hivyo japo hiyo ni miongoni mwa option muhimu. Kwa upande wangu nikiwa na single maza huwa akili naiandaa kabisa ili nisipate shida. Nna mfano halisi wangu mwenyewe kuna kipindi nilikuwa na single mom mmoja alikuwa akimkandia sana mwenzie na akadai hawawasiliani kabisa na amemblock, akawa busy kaacha sim mezani ikawa inaita kucheki ni baba mtoto anapiga(alipiga 3 times), alivyokuja akanyanyua simu akaenda kuongelea nje hata sikuhangaika nae niliishia kucheka nikikumbuka alichokuwa anakisema. Kumuamini mtu ni kazi sana.
Upo sahihi mkuu
 
Nimetoka kwenye kikao cha usuluhishi usiku huu, wanandoa wanagombana kisa simu anazopigiwa mwanamke na mzazi mwenzake. Mwanamke kila akijaribu kujitetea Jamaa haelewi, anasema haiwezekani lazima mtakuwa na mahusiano.

Sasa kuna kauli tata imetolewa na bibie ndiyo iliyonisukuma nifungue uzi huu.
Hii hapa - "Shemeji mimi nimechoka, naipenda sana ndoa yangu lakini mume wangu hana imani kabisa na mimi, sina raha kwasababu ya mzazi mwenzangu, naomba Mungu huyu mzazi mwenzangu afe tu ili ndoa yangu iwe na amani, mbona mzazi mwenza wa fulani alishakufa na ndoa yao ina amani.

Nimemwambia Shemeji ukisema hivyo unakosea sana, hiyo hatua uliyofikia kumuombea kifo binadamu mwenzako sio sawa kabisa, kama mumeo hataki upigiwe simu basi mwambie huyo baba nanii asiwe anakupigia,.,.." kabla sijamaliza kanikatisha ,"Hooo hapana Shemeji yaani hata ningekuwa na uwezo wa kumuua ningemuua tu ili nipate amani ya moyo wangu, sina raha.

Nikaona nije kwenu nyinyi mnaojisifia kupasha viporo na wazazi wenzenu, kuna mwenzenu anaplaniwa kuuawa ili kunusuru ndoa, kuweni makini.
Usijaukamini kauli za mwanamke kwenye usuluhisho, au akiwa kwenye mapenzi 90% ni hisia mhemuko au uongo.........wanawake kupotosha jamii.
 
Sijamaanisha hivyo japo hiyo ni miongoni mwa option muhimu. Kwa upande wangu nikiwa na single maza huwa akili naiandaa kabisa ili nisipate shida.

Nna mfano halisi wangu mwenyewe kuna kipindi nilikuwa na single mom mmoja alikuwa akimkandia sana mwenzie na akadai hawawasiliani kabisa na amemblock, akawa busy kaacha sim mezani ikawa inaita kucheki ni baba mtoto anapiga(alipiga 3 times), alivyokuja akanyanyua simu akaenda kuongelea nje hata sikuhangaika nae niliishia kucheka nikikumbuka alichokuwa anakisema.

Kumuamini mtu ni kazi sana.
Mmh mimi Mungu hakunipa uvumilivu katika suala kama hilo, nadhani hiyo hiyo siku naanza maisha mengine bila huyu singo maza, wanawake huficha mengi kwetu.
 
Back
Top Bottom