johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
Zamani Kariakoo ilikuwa ya Wapemba na Wamanyema na Manzese ilikuwa ya Wachagga lakini sasa mambo yamebadilika huko kote wamejaa Wakinga watupu na maghorofa yao.
Kiukweli mnamuenzi vema mmoja wa waasisi wa Chadema mzee Tuntemeke Sanga RIP ambaye miaka yote aliishi hotelini pale Motel Agip jirani Azania Front posta.
Mapembelo wakinga wote!
Kiukweli mnamuenzi vema mmoja wa waasisi wa Chadema mzee Tuntemeke Sanga RIP ambaye miaka yote aliishi hotelini pale Motel Agip jirani Azania Front posta.
Mapembelo wakinga wote!