Wakinga acheni fujo Kariakoo kila ghorofa la " mkinga fulani" hakika Tuntemeke Sanga hakukosea kuiasisi Chadema ya Mabepari

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
sizungumzii ipogoro, nazungumzia mitaa yenu ya town jirani na stendi ya zamani mpaka mitaa inayozunguka uwanja wa mpira wa samora.

hii mitaa ukingia usiku kuanzia saa tano, unaikuta ipo doro sana.

nikiwa katika safarini zangu za iringa, hii ndio mitaa ambayo huwa nafikia.

na kwa taarifa yako, mda huu nikiwa type comment hii, nipo hapa ccm napata kitimoto na windhoek kadhaa za kulalia.

View attachment 1979033

Miami wanakesha, club la party ipo, au haujui viwanja ukishashiba viti moto na ndizi za kukaanga kwenye gesi basi unajua iringa pakichovu
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
Daah, umenifundisha kitu flani kikubwa sana, hujui tu, huo ni zaidi ya uchawi. Halafu kwanini sikuwaza hili jambo before, damn!

Ndio upate shule mnabaki kupiga kelele tu wachawi wachawi huku wanacheza na kanuni ya demand and supply huku anakiduka town cha kupotezea muda biashara yote ni stock tu anacheza na misimu kiaina bila kelele,
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
Mwakipande anahusika sana kwenye utajiri wa wakinga!

Haya ya mwakipande wa makete ni maneno tu halafu nenda wewe uone utapewa nini, Alhamisi kila Alhamisi ni siku ya kutoa sadaka kwa wakinga na matambiko ni kitu cha kawaida kwa makabila mengi lakini hoja nimekuelekeza pale juu stock tu ndio huwatoa wakinga wengi sawa na kipindi cha mvua pia ua cement inashuka bei maana hakuna watu wengi wanaojenga sasa ukinunua tani hata 300 au 500 ikifika mwezi wa tano mwishoni kwenda wa sita wewe utaiuza kwa faida sana maana ujenzi unapamba moto time hiyo
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,421
2,000
Halafu hawana time na siasa na nakampun makubwa....yaan wahuni wanapiga mishe privately bila kumshilikisha mtu Wala nini...nchi imeitenga njombe ...wachaga wamejaa Crdb , na nmb, wanyakyusa na wasukuma jeshin,

Ila wahuni ni matighter na hawana shobo
broo mud oil chafu upo mkuu hahahahaa wanasemaje hapo mk?
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,851
2,000
Haya ya mwakipande wa makete ni maneno tu halafu nenda wewe uone utapewa nini, Alhamisi kila Alhamisi ni siku ya kutoa sadaka kwa wakinga na matambiko ni kitu cha kawaida kwa makabila mengi lakini hoja nimekuelekeza pale juu stock tu ndio huwatoa wakinga wengi sawa na kipindi cha mvua pia ua cement inashuka bei maana hakuna watu wengi wanaojenga sasa ukinunua tani hata 300 au 500 ikifika mwezi wa tano mwishoni kwenda wa sita wewe utaiuza kwa faida sana maana ujenzi unapamba moto time hiyo
Mwakipande ni mjomba wake bilionea David Sanga aka Jah People ( MB )
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,800
2,000
2. Wakinga hawa wanafanyabiashara za kati na kubwa kwa mfano maduka makubwa ya jumla jumla na kwa sasa majengo makubwa hawa hawana upinzani wanafight siri kubwa mkinga ni mwaminifu mno hawezi kudhulumu na ananidhamu ya pesa kuliko kawaida
Dogo umepaki nini trela lako pembeni kwa mama ntilie unafakamia msosi na kupiga umbea. Hadi ufike kwa sheli ya MSOMALI njia panda ya Lusaka si utachelewa. Acha kuendekeza msosi.
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
Dogo umepaki nini trela lako pembeni kwa mama ntilie unafakamia msosi na kupiga umbea. Hadi ufike kwa sheli ya MSOMALI njia panda ya Lusaka si utachelewa. Acha kuendekeza msosi.

Ukiwa unaongea na wakurugenzi uwe na adabu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom