Wakinga acheni fujo Kariakoo kila ghorofa la " mkinga fulani" hakika Tuntemeke Sanga hakukosea kuiasisi Chadema ya Mabepari

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,414
2,000
Zamani Kariakoo ilikuwa ya Wapemba na Wamanyema na Manzese ilikuwa ya Wachagga lakini sasa mambo yamebadilika huko kote wamejaa Wakinga watupu na maghorofa yao.

Kiukweli mnamuenzi vema mmoja wa waasisi wa Chadema mzee Tuntemeke Sanga RIP ambaye miaka yote aliishi hotelini pale Motel Agip jirani Azania Front posta.

Mapembelo wakinga wote!
 
Achimwene wa Makete

Senior Member
Oct 13, 2021
133
500
Zamani Kariakoo ilikuwa ya Wapemba na Wamanyema na Manzese ilikuwa ya Wachagga lakini sasa mambo yamebadilika huko kote wamejaa Wakinga watupu na maghorofa yao.

Kiukweli mnamuenzi vema mmoja wa waasisi wa Chadema mzee Tuntemeke Sanga RIP ambaye miaka yote aliishi hotelini pale Motel Agip jirani Azania Front posta.

Mapembelo wakinga wote!
Ulitaka kuandika nini?
FB_IMG_1634450109028.jpg
FB_IMG_1634560234673.jpg
 
Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,709
2,000
Hela za uchawi hizo.
Alisikika mhuni mmoja kijiweni huku akiwa anapiga miayo, anacheza draft huku akiwa na data za matajiri wote wa nchi.
Kama ni rahisi hivyo watz wangekuwa milioneaa,bidii yao ya Kazi, uaminifu na kubebana ndio Siri ya wachaga,wakinga, waarabu,wapemba, wazungu,wahindi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom