Wakinga acheni fujo Kariakoo kila ghorofa la " mkinga fulani" hakika Tuntemeke Sanga hakukosea kuiasisi Chadema ya Mabepari

Zamani Kariakoo ilikuwa ya Wapemba na Wamanyema na Manzese ilikuwa ya Wachagga lakini sasa mambo yamebadilika huko kote wamejaa Wakinga watupu na maghorofa yao.

Kiukweli mnamuenzi vema mmoja wa waasisi wa Chadema mzee Tuntemeke Sanga RIP ambaye miaka yote aliishi hotelini pale Motel Agip jirani Azania Front posta.

Mapembelo wakinga wote!
Tumtemeke aliasisi Chadema?
 
2EC282F2-FEB3-46E2-9F5F-D076DDFE9C43.jpeg
 
Wachaga na wizi wao wamepigwa chini na Wakinga.
Hahaahaa aisee unawachukia sana wachaga !!!! Pambana mzeee chuki zinazidi kukuzidishia ufukara!!! Achana na wachaga huwawezi jiwe kajaribu kachemka kadedi!!! Wachaga hawana utajiri wa kufuga misukule!!! Nenda Uganda ,malawi,Kenya, uingereza,botswana uwane!!! Jifunze kutoka kwao
 
mji wao wa iringa ukiingia usiku mida ya saa tano usiku unaukuta upo kimya sana.

unaweza sema umeingia katika mji ambao umetelekezwa na wenyeji.

watani zangu wahehe waanze kwanza kuuchangamsha mjj wao. mji umeepooza sana.
Utakuwa unazungumzia Ipogolo wewe!
 
Zamani Kariakoo ilikuwa ya Wapemba na Wamanyema na Manzese ilikuwa ya Wachagga lakini sasa mambo yamebadilika huko kote wamejaa Wakinga watupu na maghorofa yao.

Kiukweli mnamuenzi vema mmoja wa waasisi wa Chadema mzee Tuntemeke Sanga RIP ambaye miaka yote aliishi hotelini pale Motel Agip jirani Azania Front posta.

Mapembelo wakinga wote!
Ndeti...... Tunafukuza chawaaaaaaaa.....
Nkinga Mali Nkila lakini nali M'boni tauni
 
Makabila ya real hustlers Tanzania ni kama ifuatavo 1. wachaga hawa siku hizi walishaacha kufuata sana nguo na biashara za uchuuzi wanewekeza kwenye hisa na kumiliki viwanda vya kuzalisha bidhaa mbali mbali wanaojitafuta ndio wamebaki kwenye maduka na umachinga.
 
2. Wakinga hawa wanafanyabiashara za kati na kubwa kwa mfano maduka makubwa ya jumla jumla na kwa sasa majengo makubwa hawa hawana upinzani wanafight siri kubwa mkinga ni mwaminifu mno hawezi kudhulumu na ananidhamu ya pesa kuliko kawaida
 
3. Waha yes hawa wanafight mno, wanaanzia chini kabisa na hawachagui kazi yoyote wanafanya wengi huanza kwa kuuza madafu, machungwa, vyombo baadae kiduka cha mtaani na baadae wanamiliki maduka ya jumla ya bidhaa hawa ni bahiri na wananidhamu ya pesa sana
 
4. Hapa kuna wanyantuzu ni jamii ya wasukuma wa bariadi, wanajua kubebana sana kibiashara wengi wanamiliki maduka ya jumla kanda ya ziwa lakini pia wapo kwenye uchimbaji wa dhahabu kuanzia Tanzania hadi msumbiji
 
Makabila mengine wanafight lakini sio kwa ukubwa kama hao, na makabila kama wahehe, wahaya, wanyakyusa, hawa hufanya vyema kwenye elimu na biashara kidogo nadhani ni kutokana na asili yao lakini wanawake wa kinyakyusa ni wapambanaji kwelikweli nadhani ukitoa wanawake wa kichaga wanaofuata ni wanawake wa kinyakyusa
 
Back
Top Bottom