Wakinga acheni fujo Kariakoo kila ghorofa la " mkinga fulani" hakika Tuntemeke Sanga hakukosea kuiasisi Chadema ya Mabepari

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,543
141,351
Zamani Kariakoo ilikuwa ya Wapemba na Wamanyema na Manzese ilikuwa ya Wachagga lakini sasa mambo yamebadilika huko kote wamejaa Wakinga watupu na maghorofa yao.

Kiukweli mnamuenzi vema mmoja wa waasisi wa Chadema mzee Tuntemeke Sanga RIP ambaye miaka yote aliishi hotelini pale Motel Agip jirani Azania Front posta.

Mapembelo wakinga wote!
 
Ulitaka kuandika nini?
FB_IMG_1634450109028.jpg
FB_IMG_1634560234673.jpg
 
Back
Top Bottom