Wakina nani wanaopima kina cha maji huko Dar?

lui03152

JF-Expert Member
Nov 27, 2020
250
338
Leo kiongozi wetu mkuu wa Serikali ya awamu ya 6 akizungumza na wazee ametoa onyo kali kwa baadhi ya watu wanaojaribu kupima level ya maji na kuwaambia waache kabisa hayo majaribio yao.

Hivi ni nani hawa. Wana jamvi naomba kuwasilisha wapembuzi wa mambo haya mukuje kutudadavulia hii ishu!!...
 
Leo kiongozi wetu mkuu wa serikali ya awamu ya 6 akizungumza na wazee ametoa onyo kali kwa baadhi ya watu wanaojaribu kupipa leve ya maji na kuwaambia waache kabisa hayo majaribio yao. Hivi ni nani hawa. Wana jamvi naomba kuwasilisha wapembuzi wa mambo haya mukuje kutudadavulia hii ishu!!...

Amesema ameanza kusikia majambazi wanaleta fujo mtaani sasa kawaambia wakae mkao wakula sasa hivi wataanza kula VYUMA.
 
Mama kwa kauli yako ni go ahead ya mapolisi kuua watu wasio na hatia. Tunafahamu Tabia za Askari wetu katika utendaji wao wa kazi. Sijapenda.Time will tell
 
Tusubiri wakizama kwenye hicho kina kirefu, miili itaelea na kutemwa kwenye fukwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom