Wakina kaka hii tabia ya kutufananisha na mama zenu mnaona iko poa?

Sasa si mngekuwa tu mnazioa tu hizo nyumba dogo from the very beginning as zimekamilika, kuna haja gani kwenda kuoa mtu unayeona ana mapungufu afu unatafuta aliye mkamilifu wa kuchepuka naye? Mnajitesa eti

Hujaelewa kitu bado. Hizo nyumba ndogo zinakuja pale tabia ndani ya nyumba inaposhindikana ndipo unakuta mtu anaona bora isiwe kero....anatoka na kwenda kujitafutia sehemu tulivu ya kujisitiri. Kina dada ndio wanaosababisha sie kutafuta nyumba ndogo. We umeona wapi, mtu anahamka asubuhi kabla ya kufanya kitu yuko anapekua Insta au fesikubu kujuwa wamarekani weusi wamefanya nini jana wakati yeye kalala au Wema analatiwa na nani ili siku yake iende salama.
 
Kwa hiyo Ukienda nyumba ndogo ndo facebook au insta ya mkeo inajifunga? Huyo ndo kichwa cha familia kilichoambiwa kiishi na mkewe kwa akili? Kama huwezi kucommunicate na mwenzako na kumrudisha kwenye mstari, then ooops....
There is no justification for cheating, ni kuendekeza tu umalaya
 
Tatizo mmeshindikana kwani hamtaki kuambiwa ukweli. Mnatufundisha kutafuta hizo nyumba ndogo kila kukicha kwa kujifanya mnajuwa kumbe mwaungua na jua. Endeleeni tu.
 
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.

Hakuna kitu kinaleta faraja kama mtu akujue, yaani mama zetu hawa, we acha tu.

Kifupi kwangu mm, hakuna anayeweza ziba pengo la mama ... kuanzia UPENDO kwa ndugu wote, msosi, usafi, malezi, heshima + adabu, maadili etc., hapana aisee ... Mungu aendelee kumlinda!

Nimemuoa mwenzangu nikijua hawezi kufikia hata 50% ya sifa za mama yangu ila sababu tu ya sifa zingine za ziada. Na nikienda nyumbani kumtembelea mama, daah natamani hata nisirudi kwangu, care ni zile zile kama nilivyokuwa mtoto ... Utasikia "baba chakula tayari ... mara asante baba yangu ... sawa baba yangu ... baba unaendeleaje na kazi ... pole baba yangu"

Ninachozingatia ni ku-induce hizo sifa za mama yangu kwa wajukuu zake, nina hakikisha likizo time mabinti zangu wanaspend kwa bibi yao na kujifunza hizo skills zote, hakuna cha kubaki summer time wala nn, and wanaenjoy sana!

Tatizo likizo ikiisha na kurudi kwa huyu mchaga wangu, tabu tupu ... wakati mwingine kama tuko suma jkt!

All in all, hakuna kama mama!
 
Tatizo mmeshindikana kwani hamtaki kuambiwa ukweli. Mnatufundisha kutafuta hizo nyumba ndogo kila kukicha kwa kujifanya mnajuwa kumbe mwaungua na jua. Endeleeni tu.
Poleeee maana mnafikiri mnawakomesha wake zenu kumbe mnajikomoa wenyewe. Huwezi kushindana na mpumbavu kwa kuwa mpumbavu pia. Mwenye ufahamu na afahamu hilo
 
Hakuna mtu anayependa kufananishwa. Hata wanaume huwa tunamind kufananishwa na kaka, baba zenu japo tunaweza tusime na kulalamika live.

Kuna rafiki yangu mmoja urafiki wetu uliyumba pakubwa sana siku flani mkewe alimwambia mbele yangu "mbona Consultant amefanya so and so harafu wewe unashindwa, kazi ulevi tu"
 
Habari za leo wapendwa,
Mkaka upo nae kwenye mahisiano ukipika wali maharage anakwambia ladha mbona ni tofauti na maharage anayopika mama si wali maharage tu hii ilikuwa ni mfano tu. Anakwenda mbali zaidi glass kabatini ukizifunika anakwambia mama yeye anzisimamisha. Hivi unawlewa kuwa siishi maisha ya mama yako? Elewa kuwa mimi ni nafsi tofauti na nafasi yangu ni tofauti na ya mama yako.
Pole jamen mapenzi nikubembelezana ukitumia hasira hamtafika jameni
 
Hapana nyie ndo wapumbavu mnaofanya mambo ya kijinga in the name of kuwakomesha wake zenu

Hapana unakariri tu, usifanye hivyo utajilostisha. Ni hivi, jinsi tulivyoumbwa tumekuwa watu wa kuonja onja kila kukicha na haturidhiki na bahati mbaya hata hao wanaotutongoza pia ni wake za wenzetu. Usishangae hata wewe ukilala na mimi siku ya kwanza tu nitakukinai na kuwaza namna ya kukukimbia tukiwa bado kitandani. Tumeumbwa tofauti sana, huku wewe unawaza namna ya kunipata mimi kuwa mumeo mtarajiwa, mwenzio nawaza namna ya kukukimbia kama hujuwi gegedo vizuri. Tatizo ni hilo tu, usijipe stress bure.
 
Me stress sina, na namshukuru Mungu huwa ananipiga upofu dhidi ya wanaume wa type yako. They are plenty of good men outside there ambao wanaheshimu maumbile yao na sio kujiendekeza na upuuzi eti wanaume mmeumbwa kuonja onja khaaa, mnaonja chumvi au sukari? Shame. Jisemee wewe na hao wanawake unaokutana nao, usiwasemee wanaume wenye akili njema. Uwe na usiku mwema
 
Back
Top Bottom