Wakina Dada Na Wizi wa Kwenye Maduka (Live Camera)

Hii sio bongo movie ni tukio la kweli,kina dada hawataki kubaki nyuma katika kila kazi zinazoonekana za wanaume zaidi hata kama haramu na wao wamo....kumbe sasa haina haja ya kuwa na viti maalum bungeni,wanaweza bila kuwezeshwa hawa waswahili sasa,angalia video hii hapa chini uone dada mwenye suruali nyeusi alivoenda na "move" mpaka kufanikiwa kukwapua begi la mauzo ya duka la vipodozi mlimani city bila kugundulika na wahusika...

Last edited by a moderator:

Sasa jamani huku si kuna cctv cameras kibao,au zimetiwa upofu?
 
Last edited by a moderator:
Movie yako ukiuuza utapiga hela ndefu mpwa safii sana!!
 
Niliwahi kushuhudia akina dada wawili mtaa wa Lumumba wakati huo Shoprite wamefungua supermarket yao pale jinsi walivyokuwa wanachacharika kuiba vitu mle ndani wakati walinzi wapo na hizo cctv zipo lakini walitoka sikuamini nilichokiona machoni..Tena cha kuchekesha mmoja wao alikuwa mjamzito lakini walifanya mambo ya ajabu kabisa..
 
mkuu ni haatari nimesikia clouds fm leo nkasema lohh..kumbe mabegi na kazi hee bana si mlitaka usawa wa beijing ndio huo
 
waache waibiwe madadawengi wako kibiashara zaidi kwenye kazi zao palemlimani city wanangalia nani anakuja kununua akiwa na pesa nzuri wanagawa bcards kama tkt za kimara bonyokwa sasa kama unaaga home na mawazo ya buzi utafanywa je kama sio kuibiwa anyway sijui next imetokeaje
 
Duh kumbe wanawake nao hawapo nyuma ? Kazi kweli kweli .
 
What a revelation!!!?Kumbe these gigantic bags they carry around can be super handy to some,uuuuhhh!! Ok.
 
Daaaaaamn! Tukio la kufungulia mwezi, I see camera's detail 01/02/2012 1930+ hrs,seems walishawasoma wakajipanga, in my opinion hao wote wanne wanahusika, wameflock in timely, wawili wakamzinga the other attendant upande ule wa pili,Huku huyo mmama gurubembe akijifanya mteja anam-occupy the other attendant, duuuuh! Huu wizi baaaabu kubwaaa! Hopeful walikamatwa, wote wanne, hata hao wawili waliobaki wanahusika,
 
Back
Top Bottom