Wakina Dada Na Wizi wa Kwenye Maduka (Live Camera)

Ukiistudy vizuri hiyo video utagundua kuwa tofauti ya muda toka wale wadada wezi walipoondoka na kutokuonekana kwenye kamera hadi huyo mdada muuzaji alipogundua kuwa kaibiwa ni less than one minute. nachojiuliza walishindwaje kuwaona ukichukulia ukubwa(urefu) wa korido za mlimani city?. Kwa bongo inawezekana hata huyo muuzaji naye ni patna wao - ila walikuwa wanaekti for cameras kuuwa ushahidi. Hii ni intalijensia yangu tu
 
Kwa jinsi nilivyoiangalia hii movie ni kwamba inaonyesha ni "Promotion Acting" ya hawa wanaouza CAMERAS. Kwani yule dada alipovuta kile kibox ni kwamba makaratasi yakaanguka, na pia yule muhudumu hakuwa mbali, ina maana lishindwa kugundua kuwa kuna kitu kimeanguka???

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom