DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,612
- 30,109
- Thread starter
- #61
try meMkiombwa hela mnalia lia ndiyo tatizo
Nakwambia hautajuta kamwe.
try meMkiombwa hela mnalia lia ndiyo tatizo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] haki vile hakunaga wa kufanya huo ujingaSiku hizi hakuna mwanamke mjinga kiasi hicho
Sema kweli.try me
Nakwambia hautajuta kamwe.
Mkuu hata huyo pengine ulikua unaota embu amka mara mojaMSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)
JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂
Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.
Hivi wasichana/wanawake Kama Hawa Bado Wapo huko mtaani kwenu??kama wapo hata 10 nakuja kuoa wote
Labda awe malaika alieshushwa na roho mtakatifuMSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)
JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂
Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.
Hivi wasichana/wanawake Kama Hawa Bado Wapo huko mtaani kwenu??kama wapo hata 10 nakuja kuoa wote
Ban mchezo??Nimekupenda bure,leo umejibu kama sio wewe
HongeraNipo.
Ila sio kwamba napenda, ila ni kwa sababu nataka kuonekana wife material.