Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,085
- 110,793
Mkuu....tupo ambao hata hyo kumi na tano hatuchukui.nywele zangu mwenyewe hela ya saluni atoe mwingine ni akili au matope?
Umeiona pm nilio kutumi....[emoji39] [emoji39]
Mkuu....tupo ambao hata hyo kumi na tano hatuchukui.nywele zangu mwenyewe hela ya saluni atoe mwingine ni akili au matope?
zawadi tu? hilo kwangu sio tatizo, andaa tu sehemu ya kuziweka,japo sipendi kuomba hela ya mtu napenda zawadi mwanaume ambae sio romantic simtaki atanipa maswali sana
inategemeana unajua!ni uongo tu wa kutoa laki atoke wapi
Yap gud... Huo ndio ukweli wa hali halisi ya maisha...Nipo.
Ila sio kwamba napenda, ila ni kwa sababu nataka kuonekana wife material.
UMENISHAWISHI SIJUI NIJE pm NIJARIBU BAHATI YANGU??Nipo.
Ila sio kwamba napenda, ila ni kwa sababu nataka kuonekana wife material.
Uje na helaUMENISHAWISHI SIJUI NIJE pm NIJARIBU BAHATI YANGU??
[emoji23] [emoji23] umetishaaaNipo.
Ila sio kwamba napenda, ila ni kwa sababu nataka kuonekana wife material.
KIASI GANI MAMAUje na hela
Najishughulisha ndiyo.pole sana kwaji wewe hujisgughulishi?
Mkiombwa hela mnalia lia ndiyo tatizoAcha kuishi kwa kujitesa mkuu, wewe ukihitaji omba tu.
Ha ha ha hayaNaomba nkuoe mkuu
Hela nyingi tuu nizihesabu hadi nichokeKIASI GANI MAMA
SAWA BIBIEHela nyingi tuu nizihesabu hadi nichoke
sawa mkuuzawadi tu? hilo kwangu sio tatizo, andaa tu sehemu ya kuziweka,
inategemeana unajua!
kuna wanawake wengine hawaombagi hela kabisa, sasa siku mwanaume akiamua ajiongeze ndio anamwaga hata zaidi ya hapo