Wakina dada kama hawa wapo huko kwenu ?

Wakina dada kama hawa wapo huko kwenu ?

MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)

JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂

Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.

Hivi wasichana/wanawake Kama Hawa Bado Wapo huko mtaani kwenu??kama wapo hata 10 nakuja kuoa wote
Wapo Brother, wapo
Wapo Kabisa.
 
sasa unampa laki kwajili ya nywele? au anaenda kukuza kama rooney?
 
siutamuona wazimu akirejesha change?..ila wacha nimsubiri rubii huenda ana jibu sahihi..
 
labda mnadate vishichana vya chuo
Hahahahahhh hapana bwana wanawake wale wa kutupiga mizinga ni wametoweka saiz wanawake wengi wapo kimaslahi akiona rafiki yake kanunua nguo nzuri naye anaitaka hapo mzinga unachukua nafasi tena vibinti vya leo ukithubutu tu kumpa hela aliyoomba utaenda kulala hoi utakatikiwa mauno mpk ukome
 
huu uzi umesadifiana na wimbo fulani wa sam nauskiza sasa hivi..eti wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu,hata kwetu wapo...hahaa
 
Hahahahahhh hapana bwana wanawake wale wa kutupiga mizinga ni wametoweka saiz wanawake wengi wapo kimaslahi akiona rafiki yake kanunua nguo nzuri naye anaitaka hapo mzinga unachukua nafasi tena vibinti vya leo ukithubutu tu kumpa hela aliyoomba utaenda kulala hoi utakatikiwa mauno mpk ukome
Aiseeeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom