Wakina dada kama hawa wapo huko kwenu ?

Wakina dada kama hawa wapo huko kwenu ?

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
23,503
Reaction score
29,904
MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)

JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂

Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.

Hivi wasichana/wanawake Kama Hawa Bado Wapo huko mtaani kwenu??kama wapo hata 10 nakuja kuoa wote
 
Ni kweli yaweza ikawa vigumu kuwapata, ila wapo japo ni wachache sana ktk jamii tuliyomo leo. Hii ni sawa na wanaume wenye mapenzi ya dhati walivyo wachache (wengi hit & run), thus why nao tangu awali wanaamua wapige mizinga tu kwani hawaujui mwisho itakuwaje, so wengi ni kazi ya kujihami kwa mizinga tangu cku ya kwanza
 
MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)

JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂

Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.

Hivi wasichana/wanawake Kama Hawa Bado Wapo huko mtaani kwenu??kama wapo hata 10 nakuja kuoa wote
Kizazi hiko cha wasichana kilitoweka kwa kuzama na kufa maji kipindi cha gharika, wao waligoma kupanda Safina ya Nabii Nuhu
 
tupo ambao hata hyo kumi na tano hatuchukui.nywele zangu mwenyewe hela ya saluni atoe mwingine ni akili au matope?
Mmmmmmh siku hizi wachache sana akikukosa kwenye hela ya saloon jiandae na smart phone. Akikosa kwenye simu jiandae na viatu nguo na hand bag za kisasa.
 
kuna hizi sayari zimegunduliwa juzi kati hapa naskia wanawake wa hivyo ndio wanaishi kwenye moja ya hizo sayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom