lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?

Mjini hapa mkuu watu hawajaja kuangalia magorofa

Ningekuwa mimi ningefurahi kuulizwa hayo maswali matatu niliyobold hapo juu, maana yanatosha kabisa kukufahamisha kama huyo ni wife material au laaa! Inawezekana kwake, pesa mbele, mapenzi yanafuata! Kwa hiyo kama unatafuta mke kwa maana ya mke, nafikiri jibu unalo ila kama unatafuta kiburudisho naona pia jibu unalo, huwezi kuwa na kiburudisho cha maana kama huna hivyo vitatu nilivyobold hapo juu!!!
wewe akikuuliza una gari nawe muulize una uzuri mwenye kustahili kuwa na mwanaume mwenye gari?
ladies have to belrealistic...kuna wanawake wakuhongwa magari na wanawake wa chips kuku...so jiangalie kwanza uzuri wako ukoje
Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?
Hahahahahahaaa ''life is change''
Blue Huilo swali sawa yaani maana yake badala ya kujisumbua kutafuta mke wewe anza kutafuta kazi kwanza, sawa kabisa. Red Mwambie unalo halafu uje nikuazimishe analonioazimishaga mjomba. Vinginevyo utaendelea kushika bomba mpaka juzi asubuhi.Habari wana great thinkers,kuna katabia au tabia ambayo wanayo wakina dada wa humu jf ambayo sio nzuri na inaweza ikawafikisha pabaya.Siku kama tano zilizopita nilipost thread ya kutafuta mchumba na Mungu si athuman akatokea dada mmoja akani PM namba yake na tukapata kufahamiana kiasi flani.Tatizo linakuja pale ambapo kila nikipiga nae story analazimisha kujua kazi yangu na nalipwa kiasi gani kwa mwezi,alinichosha zaidi pale aliponiuliza kama nina gari au la..apo nilichoka kabisa na kukosa hamu hata ya kuzungumza nae...Je hii ni sahihi kwa wanavyotufanyia hawa dada zetu?