1) i will take ur comment as a compliment and let it be know to you, that am not one who is afraid to go against the grain. the popularity of a certain practice does not necessarily make it right. e.g siku hzi kugegedana kabla ya ndoa ni thinking ya kisasa but it certainly isnt right. so where as my thinking myt not fit "our time" it is certainly without a shadow of a doubt right.
2) unasema hiyo ilikuwa zaidi zamani, this somehow links with the first point concerning "our time" and "their time" ndio wanaume wanaangalia mwanamke anafanya kazi gani and all that becoz tayari wanaume wa "our time" have the mentality that women should do these "extra" jobs which to me is just secondary duties. primary duty yake mwanamke ndio kama hivyo "kugegedwa, kuzaa kulea". to add to that, pamoja na kwamba wanaangalia mwanamke anafanya kazi gani it still does not extricate a man from his duties ya kuprovide katika familia, his primary duty. ask those with experience and they will testify that to marry a working woman and expect that it will go 50/50 is to live in denial. wewe mwanaume unaweka mafuta kwenye gari la mkeo, utatibia wazazi wake, utalipa school fees, utajenga wewe etc.
3) please do understand ninaposema mwanamke yeye ni "kugegedwa, kuzaa na kulea" dnt mean kwamba ni lazima ake nyumbani tuu. hizo zilizotajwa hapo juu ndio primary duties zake. kuwa pilot, engineer ni extras which have no relevance if one can not perform the fundamentals mentioned above. so kui by all means nenda kuwa marketer or rocket scientist but dnt forget the fundamentals.
usijidanganye kuwa eti wanawake hawata depend kwa wanaume financially, thats just a fallacy that "haki sawa kwa wote" preaches but only exist as a defacto. mwanamke alie olewa ata depend kwa mwanaume finacially even if she is a working class woman. that is how it is.
The majority of professional women tend to forget a wife's duty at home, she will be the one dictating when sex will be performed and if the man is not strong enough he become inferior. This can be the beginning of a man finding mchepuko where he feels he has a full power as a man. It is only my thinking.
We acha kunawake wanamaliza kilo ya dona na maharage,
Mwanaume hatakiwi kuishiwa mbinu,akikata kamba kesho yakeWanakataga kamba kama Samsoni wa Delila mkuu.... afu subiri hiyo ngoma ya mmakonde mzee inaitwa Mdundikoooo😱
Si swala la kunitokea,ni swala la ni nani alimtokea mwenzake akaombaWewe hayajakutokea tu, shukuru.
mkuu kwahyo alikupga mbele ya huyo dada wa kazi?Mimi nimeanza kwenda mazoezi ya karate juzi baada ya mke wangu kunipiga vibao vya nguvu kisa eti katukuta tunapiga story vizuri na housegirl huku tunapasiana viganja/makofi na kucheka kwa furahaa na nilishindwa kumdhibiti kabisa mke wangu, nimepata aibu sana kwani niliishia tu kulia kama mtoto mdogo!
Haha haha. Hivi kuna wanaotafutiwa wake dunia hii? You have just made my day😀😀Si swala la kunitokea,ni swala la ni nani alimtokea mwenzake akaomba
muishi wote.Kama ni mwanaume ulimtokea huyo mdada/mmama
kama amekuzidi nguvu za mikononi basi tumia akili uliyotumia
mpaka uampata.Hicho unachokieleza ni madhara yanayowakumba
wale waliotafutiwa wanawake na ndugu zao ,wazazi au marafiki.
yeye akaishia kumwingiza ndani hapo lazima haya yakupate
maana uwezekano wa akili ndogo kumiliki akili kubwa unahusika.
Mwanaume halisi lazima uoe mke ambaye ni matunda
ya akili yako mwenyewe na si matunda ya akili za watu
huyo lazima akudunde na udundike.Labda uwe unamzidi misuli.
Ndo manake,kama yupo mtu anapigwa na mke wakeHaha haha. Hivi kuna wanaotafutiwa wake dunia hii? You have just made my day😀😀
Wewe si umeona hata Robert Mugabe nae ni mhanga wa ngumi za mke.Ndo manake,kama yupo mtu anapigwa na mke wake
kiasi cha kutamani kumshirikisha mtu na anaona aibu
huyo ni ukweli usiopingika kwamba alitafutiwa mke,
Sikatai mke wangu anaweza kunipiga kofi la utani
nikamchekea kama sehemu ya utani na nikamwambia umeshinda
na tukaishia kucheka na kufurahi.Lakini kama ni kichapo
mpaka nikaomba po,basi lazima nirudi kwenye akili iliyotumika
kumpata na huo ndo utakuwa mwisho wa kupigwa.
Wish to be of that kind but fortunately nimejikuta nipo nje ya ukweli wenyewe, ila one day yes hahahaha....Yaani mtu sijui anaanza vipi kumpiga mwanaume wake kwa kweli. Sasa sijui nani anakuwa mwanaume ndani.
I want my man to protect me and take good care of me, ukianza kumpiga na yeye asitie neno self confidence inayeyuka, anabaki mwanaume jina.
Mwanaume confidence bwana.
Hicho kipande cha Mugabe ni sehemu tu ya kofi la mapenzi.Wewe si umeona hata Robert Mugabe nae ni mhanga wa ngumi za mke.
Mke akikupiga MPE Talaka mana IPO cku Utawekewa sumu na watotoItabidi tuwe na waziri wa wanaume wa kutetea kipigo cha wanaume majumbani.
Itabidi tuwe na waziri wa wanaume wa kutetea kipigo cha wanaume majumbani.
Si swala la kunitokea,ni swala la ni nani alimtokea mwenzake akaomba
muishi wote.Kama ni mwanaume ulimtokea huyo mdada/mmama
kama amekuzidi nguvu za mikononi basi tumia akili uliyotumia
mpaka ukampata.
Hicho unachokieleza ni madhara yanayowakumba
wale waliotafutiwa wanawake na ndugu zao ,wazazi au marafiki.
yeye akaishia kumwingiza ndani hapo lazima haya yakupate
maana uwezekano wa akili ndogo kumiliki akili kubwa unahusika.
Mwanaume halisi lazima uoe mke ambaye ni matunda
ya akili yako mwenyewe na si matunda ya akili za watu
huyo lazima akudunde na udundike,labda uwe unamzidi misuli.
Sasa hii ni sawa na kupewa warning letter kaziniUmeongea vile wewe umeona ni sahihi,ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wana ndoa wanaume ndio wenye nguvu kuwapiga wake zao japo wapo wanawake wachache ambao nao huwapiga waume zao. Na tunapozungumzia mwanaume wa shoka kapigwa na mkewe haimaanishi yule mwanaume hawezi kumpiga mkewe. Zipo tabia mbaya ambazo hukuwanazo mwanzo ulipompata mkeo au ilikuwepo lkn uliificha haikuonekana,leo inatokea umejulikana mkeo akakusamehe na akakuonya isirudie tena kwani kwakufanya hivyo kunampunguzia imani ktk mapenzi yenu. Japo wapo wengine hawataki kujua hiyo unajikuta ushapasuliwa samsung galaxy yako kwenye Tv na ngumi,vibao huku ukifukuzwa kama kibaka! Inapotokea unajiona unajua Gim sana kwa kumpiga ngumi au chochote, basi subiria adhabu nyingine ya kunyimwa haki yako ya ndoa.... hapo ndio utajua nini maana ya kumheshimu mkeo. Kwa hiyo kupigwa kwingi kwa wanaume sababu kubwa ni wao kutokutii sheria za ndoa zao.