wakimbizi,watumwa August 1 Kilosa

wakimbizi,watumwa August 1 Kilosa

ZIMBOO

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
23
Reaction score
1
kufuatia taarifa kwa uma wa kilosa hasa kata ya magomeni!iliyotolewa na afisa mtendani kata kuhusu kupolwa mashamba ya wananchi na makazi yao, na kupewa muwekezaji.na kuwataka wananchi kutolima mashamba hayo ifikapo august 1 2012 na kutoka kwenye makazi yao ya sasa hali inayowafanya wakilosa kuwa watumwa,wakimbizi kwenye nchi yao na kuishia kusema heri ya wakoloni.wanajamvi tuwasaidie watanzania hawa kupata haki zao zamsingi za kuishi
 
Hivi wale wananchi wa Kilosa waliokumbwa na mafuriko kipindi kile na kuahidiwa kujengewa nyumba na Rais wa Libya imefikia wapi issue hiyo? Au ndiyo hao wanaotakiwa waondoke!
 
Back
Top Bottom