mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Acha kabisa kutukana Tz wewe!....hapa ndio kunaitwa mtakuja..iwe kwa njaa au kwa kukimbia kuchinjana na roho zenu MBAYA!!!
na hilo ndio tatizo lenyewe la kutopenda ukweli!!! mbona sioni matusi? Tanzania imenilea wewe...lakini ukweli husemwa, nakumbuka kipindi hicho lumba lilikuwa kwa wote, maliasili RIP mchonga alikuwa kazifunika kabisa na pengine nasikia alipafunika kwa kambi za jeshi mpaka pale watu wake watakapo elimika na kujuwa umuhimu wake lakini alipotoka tu ndugu zangu namie wakaanza fungulia mbwa... ubinafsi ukaota matawi imefika kipindi ofisi za serikali zimesha geuzwa mali binafsi yani kama Nkurunziza... we bisha lakini wenye akili na roho mbaya kama zetu watanielewa tu