Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
yule uliyepurusa pesa zake hadi akawa analalama vp mmerudiana
Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamani unaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
Hili umeongelea kwa upande wa wanaume sawa, ila uchafu hata wanawake wengi ni wachafu. Makazini kuna wanawake wanakuja akiongea tu kaka habari yako hiyo harufu ya mdomoni ni kali shinda hata ya mavi, yaani utafikiri mtu ana kimba limemkaa kooni. Tuje kwenye chupi na makwapa sasa....jamani kina dada mnatuhaibisha yaani hata kuwatongoza wakati mwingine mtu unajiuliza mara mbili mbili....Mnapaka perfume lakini kuoga hamuogi, ukienda naye faragha il kuvua chupi tu mtu unamani kutoka mkuku kwa harufu ya hajabu. Kwa kifupi hapa Tanzania tumehalalisha unukaji wa watu, wewe jaribu kuwa in a public place (hospitali, daladala, msibani) yaani watu wanatoa harufu za hajabu na watu wanamezea tu kwani wanaona ni sawa. Yaani mtu unashindw mwambia partner wako kuwa mwenzangu unanuka?Hay wanajamvi wenzangu
Mnaendeleaje na pilika pilika za maandalizi ya sikukuu ya Pasaka, na mambo mengine kiujumla, mwenzenu niko fiti naendelea vyema na shughuli zangu za kunipatia kipato cha kula.
Awali ya yote nimeonelea leo niongee au nizungumzie tabia chafu ya baadhi ya WANAUME ambao wamekuwa kero kila kona. Kitu ambacho nataka nikisema leo jamani wandugu tena naomba marafiki zangu wanaume wa humu jf mmu msinielewe vibaya kwa hoja hii. Ni kuhusu UCHAFU WA BAADHI YA WANAUME ambao umekuwa kero kwetu hasa jamii nzima, lakini sio wote ambao ni wachafu au wananuka, bali wako baadhi ambao wanajiendekeza kwa unukaji, na wengine
wanadiriki kuvaa nguo wiki nzima, wao hawaoni kuwa ni chafu bali ule UVIVU uliowatawala ndani yao wanashindwa hata kufua jamani. na wengine inapita siku tatu hawaogi, ukisema wanasema kuwa wao ni wanatashati, heee! jamani utanashati gani huo?
Sasa mtu kama huyo anayejifanya eyeye ni mtanashati hebu mfanye naye kazi sehemu moja kwenye meza moja huku Airconditioner iwe imewashwa utakimbia mahali hapo kwani huo uharufu unaotoka hapo utasema kuwa PANYA AMEFIA WAPI TUMTAFUTE, kumbe sio panya ni yeye ananuka vibaya, mbaya zaidi wengine wanashindwa hata kunyoa sehemu zile ............................... (sizitaji kwa usalama zaidi) kwani harufu ya huko si mchezo wengine ukipishana nao wananuka vinywa utafikiri wajapiga mswaki mwaka mzima jamani we acha, mm Lady sitaki kuongeza chumvi hapo ila nasema vijana, makaka zetu na mababa zetu jamani acheni tabia hiyo ya uchafu ni hatari kwa afya zenu na afya za familia zenu jamani. Labda niwashauri wanawake wenzangu kama mkiona wanaume zenu ni wachafu wasemeni msiwaogope kwani hao wamekuwa simba mpaka muwaogope, sema nao kwa nguvu zote, na kama hawajirekebishi basi chukua uamuzi wa kuwakimbia maana ni hatari kwa afya zenu.
Onyo: Akina makaka, mababa, vijana wetu acheni tabia ya uchafu kwa uvivu wenu wa kutokujipenda ninyi ni viongozi wa familia mnataka watoto wajifunze wapi huo uchafu wenu?
NASEMA JAMANI ACHENI TABIA YA UCHAFU NADHANI MESSAGE SEND
Suala la uchafu ni hulka ya mtu, ndivyo alivyolelewa, hata ukienda nyumbani kwake utakuta kuku wa kienyeji wamenyea sakafu yote na hakuna pavers na mtu huyo ana ghorofa. Mimi naamini mwanamke anaweza kumbadili mwanaume kwa kiasi kikubwa mfano unatafuna chakula mpaka watu wengine wanasikia, unasuuza mdomo restarant, kwapas, nyayos........
Kwa upande wa uchafu kwa wanaume walio oa wanaopaswa kulaumiwa ni wake zao. We mwanamke utamuachaje mumeo aende kazini na nguo chafu au ananuka kikwapa? Ni jukumu la mke kuakikisha mume yupo smart muda wote. Kwa upande wa ma bachelor wajitahid bas kufua hivyo vi boxa vyao mnatia kinyaa mkiwa njiani na hizo kata K zenu kijichupi kipo nje kichafuuu!
Hii ya uchafu ni kwa wote..Wanaume hawapendi kuoga na wanawake wanajiachia pia..Utakuta mwanamke anakwenda kazini kavaa nguo za kuogelea .huo ni uchafu.kitu chochote kisipokuwa mahali pake ni uchafu.Nywele sasa za wadada hasa yale mawivingi hazioshwi miezi miwili eti zitafumuka.na ile mimafuta tunapaka inanuka balaa. Tubadilikeni wote
Kwa upande wa uchafu kwa wanaume walio oa wanaopaswa kulaumiwa ni wake zao. We mwanamke utamuachaje mumeo aende kazini na nguo chafu au ananuka kikwapa? Ni jukumu la mke kuakikisha mume yupo smart muda wote. Kwa upande wa ma bachelor wajitahid bas kufua hivyo vi boxa vyao mnatia kinyaa mkiwa njiani na hizo kata K zenu kijichupi kipo nje kichafuuu!
hili nalo neno....usiombe kukaa kwenye mkutano jirani na mwanaume anayenuka mapumbuu au makwapa.... Usipotapika kichwa kitakuuma siku tatu......shurti kunuka uvundo.....
Nyam baafu, umeongea tu nakuona tuuuu! nyie hivyo vidonda mlivyopigwa shoka na maulana mbona vinatoa harufu chafu mpaka makoage ndiyo angalau kinavutia, wanaume biolojikally hatuna harufu mbaya labda wachache waliorith harufu ya ubeberu wa wazazi wao nao nougonjwa basi!Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamani unaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
hata kama mwanaume ni mchafu lakini akiwa na ela
utamsikia mwanamke anasema ''naipenda sana harufuyako babewangu''